Mkeo akikupa taarifa ya mpangaji mwenzenu wa kiume kumuomba namba utachukua hatua gani?

Ukiona mwanamke anakupa hizo taarifa eti; ameombwa namba au ametongozwa na mtu flani, jua anatumia hiyo nafasi ili wewe uzidi kumuamini wakati huo yeye anachepuka na huyo jirani. Hiyo ni hatari, tena hapo yawezekana anatengeneza mazingira ya yeye kutembea na huyo jirani pasipo wewe kutilia mashaka ( kwa kuwa amesha kwambia kamktalia kumpa namba).

HAPO AMEJIVISHA NGOZI YA KONDOO WAKATI NDANI NI CHUI

Biblia imesema "wanawake tuishi nao kwa akili"
 
Kwanini option ni kuhama? Huko tunapohamia napo ukitongozwa?

Mwanamke mwenye akili akitongozwa anakataa anaendelea na mambo mengine, Kuna namna mwanaume akikataliwa harudi unless anataka kubaka sasa usumbufu umevuka mipaka hapo mwanamke anaweza sema analolipitia ili alindwe.

NB: Inawezekana mwanamke keshaamua atampa ila anataka kufuta uwezekano wa kukamatwa kwa kukudanganya kisaikolojia na kukuondoa karibu na mhusika kwa kuhama.
 
Hawa viumbe asipo kupenda ha kiurafiki tu, lolote utakalo fany kwake akuzalilishaa tu, ikiwemo kumwambia mtu wake, ndugu yake.
 
Embu jiamini majirani kuwasiliana si jambo baya si inaweza kuwa msaada wakati wa dharura kama haupo .
Mimi ninanamba za simu za majirani zangu wengine ni mke na mume.
Labda jinsi alivyoomba .
Ila kuna umuhimu wa kuwa na namba za simu za majirani kama ni mume na mke unakuwa nazo za wote.
Kwa hiyo mtu ukiwa na namba ya jirani kama ni mwanamke lazima uwasiliane naye kwa minajili ya kumtongoza ?
 
Rejea kimemo....

(Fulani) nimevumilia nimeshindwa please naomba nitafute kwa 07xxxxxxxx kisha ukishasoma kikaratasi kichane.nitunzie siri hii
 
Ukiona mwanamke anakupa hizo taarifa eti; ameombwa namba au ametongozwa na mtu flani, jua anatumia hiyo nafasi ili wewe uzidi kumuamini wakati huo yeye anachepuka na huyo jirani. Hiyo ni hatari, tena hapo yawezekana anatengeneza mazingira ya yeye kutembea na huyo jirani pasipo wewe kutilia mashaka ( kwa kuwa amesha kwambia kamktalia kumpa namba).

HAPO AMEJIVISHA NGOZI YA KONDOO WAKATI NDANI NI CHUI

Biblia imesema "wanawake tuishi nao kwa akili"
Ndo maana nikaomba ushauri..ingelikuwa wewe ungefanyaje
 
Kwanini option ni kuhama? Huko tunapohamia napo ukitongozwa?

Mwanamke mwenye akili akitongozwa anakataa anaendelea na mambo mengine, Kuna namna mwanaume akikataliwa harudi unless anataka kubaka sasa usumbufu umevuka mipaka hapo mwanamke anaweza sema analolipitia ili alindwe.

NB: Inawezekana mwanamke keshaamua atampa ila anataka kufuta uwezekano wa kukamatwa kwa kukudanganya kisaikolojia na kukuondoa karibu na mhusika kwa kuhama.
Sawa..kwa hiyo ingelikuwa wewe ungefanyaje ..ndo ungemwambia mwanamke maneno hayo au ungemuacha ukatafuta mwingine?
 
Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba chondechonde usianzishe vurumai hapo nyumbani kwani itakuwa ni aibu isitoshe utawagombanisha mtashindwa kuishi hapo so anakuomba kwamba uwe na kifua kipindi mnatafuta nyumba nyingine.

Je hatua gani za mapema uzichukue?

Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?

Au mbele ya mkewe?

Au utume mtu mzima akamueleze?

Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.
Nami namtuma mke wangu akaombe namba, naandika kimemo.....
 
Sawa..kwa hiyo ingelikuwa wewe ungefanyaje ..ndo ungemwambia mwanamke maneno hayo au ungemuacha ukatafuta mwingine?
Ningemuuliza kwanini tuhame? Huyu ana uspecial gani wa kukimbiwa tofauti na wanaume wengine ambao wameshawahi kukutongoza na ukahandle hiyo hali bila kutoa taarifa?

Jibu atakalonipa ndo litanipa picha ya ni nini kitaendelea.
 
Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba chondechonde usianzishe vurumai hapo nyumbani kwani itakuwa ni aibu isitoshe utawagombanisha mtashindwa kuishi hapo so anakuomba kwamba uwe na kifua kipindi mnatafuta nyumba nyingine.

Je hatua gani za mapema uzichukue?

Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?

Au mbele ya mkewe?

Au utume mtu mzima akamueleze?

Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.
TAYARI huko
 
Mara nyingi huu ni mtego wa imani kwa mpenzi wako, anataka kukuonyesha kuwa ni mwaminifu, subiria siku akiliwa kama atakwambia
 
Mimi nikajua, Kila member hapa ana mjengo wake mkali, huko Mbweni.

Kuwa Alpha Male bhana, mwambie mambo ya kufuatilia mapenzi kwako ni jambo dogo, so aliwe au asiliwe wewe maisha yanasonga.

Kuna mengi ya kufanya bhana.
 
Saikolojia inaonesha una mwanamke msaliti na hua anachepuka sana tu, lakini ndani ya moyo anajihukumu, hivo hapo anaiosha nafsi yake, huyo ni mmoja labda hakumpenda au hakuvutiwa nae ndio maana kajisemesha, lakini namba hua anatoa na vingine anawapa anaowapenda, wewe mkanye yeye Kwa kukueleza huo ujinga na inaonekana alikaa kihasarahasara au hajiheshimu ndio dogo akapata chance
 
Back
Top Bottom