To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
SafiNamwambia mke wangu nae anitafutie namba ya mke wa huyo jirani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SafiNamwambia mke wangu nae anitafutie namba ya mke wa huyo jirani
Hiyo ndio inavyotakiwa,jirani mmoja aliwahi kumwomba namba mke wangu akapewa namba .
Week nzima jamaa anatongoza kwa sms akijuwa anachat na mke wng.
Siku aliyojuwa kwamba anacht na mimi ,,, jamaa alikimbia chumba na kodi kaacha...
Kama mkeo ametongozwa na mpangaji mwenzenu kisha akataka muhame tena bila kumkanya mpangaji husika, amka. Hiyo ni zuga ili wapate nafasi huku wewe ukijua unaye mke mwaminifu. Trust me, unamegewaKwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba chondechonde usianzishe vurumai hapo nyumbani kwani itakuwa ni aibu isitoshe utawagombanisha mtashindwa kuishi hapo so anakuomba kwamba uwe na kifua kipindi mnatafuta nyumba nyingine.
Je hatua gani za mapema uzichukue?
Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?
Au mbele ya mkewe?
Au utume mtu mzima akamueleze?
Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.
🤣🤣🤣Kuna manzi jana ananipa stori jinsi mkurugenzi wa halmshauri anavyomtaka na mkurugenzi mwingine wa halmshauri jirani na anayofanyia kazi naye hivyohivyo anataka atoke naye. Anasema eti wote akawachomolea. Mimi nikapata jibu tu kuwa tayari wanamtomba
Ukianzisha vurugu utatakiwa uwe na sababu iliyonyooka coz kuombwa namba tu sidhani kama inauzito kiasi hiko cha kuanzisha vurugu.Kwa mfano kuna mpangaji mpya amewasili mnapoishi ila baada ya mwezi akamuomba namba ya simu mkeo kwa siri kwamba lengo wewe usijue tena alivyo mshamba akatumia kimemo na ushahidi upo wa kimemo na mkeo akamnyima na akaja kukusimulia wewe ila kwa kuogopa kugombanisha mpangaji na mkewe akakuomba chondechonde usianzishe vurumai hapo nyumbani kwani itakuwa ni aibu isitoshe utawagombanisha mtashindwa kuishi hapo so anakuomba kwamba uwe na kifua kipindi mnatafuta nyumba nyingine.
Je hatua gani za mapema uzichukue?
Je umkanye huyo mpangaji kimya kimya?
Au mbele ya mkewe?
Au utume mtu mzima akamueleze?
Au ukamnywee konyago ili uje ulianzishe fujo mtaa mzima wapate habari umekinukisha.
Kabisa mkuu,,Hiyo ndio inavyotakiwa,