sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Tumeoma mara kwa mara kero ya hawa walimu wa vyuoni wakiwa wanatumia silaha ya maksi kulala na wanafunzi.
Wanakuwa na nguvu ya kulala na mwanafunzi hata kama mwanafunzi hampendi, wanakuwa ma nguvu ya kulala na wanafunzi bila kulipia chochote zaidi ya kutoa maksi.
Sasa ikija kutokea mke wako katamaniwa na mwalimu wake halafu hapo ni mwaka wa mwisho kuna somo ni gumu kwake na ili kulipita ni lazima afanye ufuska, wewe kama mme wake utafanya nini kunusuru hii kitu, maana ukizembea hapo mkeo anaweza kuamua liwalo na liwe, Kasoma chuoni hapo miaka minne alafu safari iishie mwaka wa nne??,
Hapo inahitaji mwanamke mwenye msimamo kweli kweli kukwepa ama mume wake afanye maamuzi magumu kumnasua katika hii tamaa.
Navuta picha tu kwa wale wenye wake zao vyuoni