cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji3590][emoji3590][emoji3590] sweet darling nipo mie.Ni aje sweet heart [emoji813]?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590] sweet darling nipo mie.Ni aje sweet heart [emoji813]?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahm mwenye nna jirani yangu analiwa na bodaboda na mme wake ni mwalimu mpaka mwalimu kuja kushtuka ameshaliwa sana,popote atakapoenda lazma amwite bodaboda wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina hamu ya kumjua huyo bodaboda anaye kupeleka chocho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahKitumbua changu, sasa wewe waumia nini??
Mimi siumii,lkn ukishanogewa Kuna siku mumeo atakufumania na utakuja hapa kulia lia.Kitumbua changu, sasa wewe waumia nini??
Sasa Mkuu wewe una huruma sana na mimi au unahurumia seva za Maxence Melo? Tusipopatwa na madhila tukaja kulia hapa mtaconsume content gani?Mimi siumii,lkn ukishanogewa Kuna siku mumeo atakufumania na utakuja hapa kulia lia.
una bodaboda wako???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Hahaha Umenikumbusha mbaliUkisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli.
Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM. Kuna mmoja aliniletea bidhaa nikatakiwa nimrushie zaidi ya 300,000, nikamwambia makato upande wako. Akaniambia basi acha 'namtuma bodaboda wangu'.
Bodaboda anaweza kumsubiri mdada aoge amalize ndo ambebe. Cha kushangaza bodaboda hawa ni wakali mno kama wana deal na vidume. Hawataki kupotezewa muda na mahesabu ya gharama wanakuwa makini but kwa wadada watapigishwa round kibao malipo kiduchu lakini 'watiifu na waaminifu' kupita maelezo.
Achilia mbali wale boda wanaokunywa na wake zetu au kuwafata bar wakiwa hoi ili wawalete nyumbani wakati huo we umesafiri kikazi.
Hii connection ya wamama na wadada na bodaboda si ya mchezo.
Nawauliza Wana JF, mkeo ana bodaboda wake?
EehKumbe ndo ipo hivyo? 🤔🤔
DuuhMimi bodaboda WANGU🤣 nilipewa namba na baby, sababu yeye alikuwa anaishi maeneo haya kabla yangu ila sasa hivi yeye akipiga simu inaweza isipokewe but mimi lazima apokee na hata kama kashalala anaamka. Huwa inamuuma sana.
All in all ni kijana mwaminifu sana japo sijafika level za kumpa ATM card mtu yeyote yule.
MmmhTuseme tuu, wanawake wanapenda kupata Mtu wanaemuamini. Wakishampata wanakuwa Loyal.
Iwe Dukani, Kanisani, Bodaboda, mafundi n.k
HahahaYap hiyo nimeiona sana, unakuta demu kaja kwenye kijiwe cha bodaboda kasimama takriban lisaa lizima anamsubiria bodaboda wake.
Mi nikamuuliza kwani huyo jamaa huwa anakubebaga bure? Kwanini usichukue hizi za hapa uwahi kuliko kuendelea kumsubiria huyo huoni kua unazidi kuchelewa
Akasema "Aah nimemzoea tu naogopa kubadilisha bodaboda mwingine naona anaweza niangusha maana huyu nimemzoea hakimbizi sana"
UmeliwaNi kweli hawa boda boda wanasaidia sana mfano hapa mimi wife ana boda wake ambaye hata kama sipo huwa anakuja nyumbani anamsaidia mpaka wife kufagia uwanja nk.
Pia huwa ndo anampeleka kwenye vikao vya vikoba, misiba, harusi nk.
Hata juzi mke wangu alienda kwenye sherehe usiku akarudi mida ya saa sita usiku aliletwa na boda wake.
Huwa sina mawazo hata nikiwa safari najua huyo boda anamsaidia wife mambo mengi