Mkeo anavyomegwa na Wafanyakazi wenzao ofisini

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Mazee Tuelewe kwamba One thing everybody is capable of cheating
.
Kwa Maana KAmBa What u see happening in the office and at the workplace with ur female colleagues is what happens at ur wives' workplace Mzee Baba.
.
Hii picha inaleta ujumbe sahihi niliousema hapo Juu, Huku maofisini Watu wanajunjana Sana

 
Unfortunately, kuna utani hadi wa kushikanashikana na kufanyiana ujinga maofisini, kimyakimya. mwisho huwa wanaenda guest/hotel za mchana. na wakati huohuo utakuta kuna wanaume wanawazuia wake zao wasiokoke na kumpokea Yesu Kristo, mke asiyeokoka anafanywa lolote, hata hao waliookika kama wanafanya ni wachache. mtu asipokuwa na Mungu moyoni, hakika unamegewa kwasababu hakuogopi wewe hata siku moja anamuogopa Mungu. sisemi kwa kusikia, hata zamani mimi mwenyewe nimefanya mengi sana kwa wake za watu maofisini kwetu.

Shida ni kwamba, we spend most of the time with your wives, kuliko wewe unayespend naye time jioni na usiku mnalala. wafanyakazi wanaspend time na wake zenu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa, wapo macho, wanaongea, wanataniana, utani mwingine wa kizinzikizinzi, wanasaidiana, wanabadilishana upendo,wanapendana n.k. kuna kipindi kwamfano hao waandishi wa habari wa radio walikuwa wanapukutika kwa ngoma radio nzima, wanaambukizana kwenye zile night...kesho yake wanazungushana wao kwa wao hadi kituo kizima kinaathirika. sitaki kutaja majina.
 
Kuna ukweli ambao watu wengi na wajinga wengi wanaukataa aidha kwa kujua au kutokujua, ila kwenye huo ukweli ndiyo salama ilipo.

Ni kosa kubwa sana kuwachanganya viumbe hawa wawili sehemu yoyote ile unayoijua wewe. Kinyume chake mtakuwa mnajifariji tu.
 
Sasa wewe ndiyo unajifariji, mwanamke yeyote hata aokoke vipi ukimuweka karibu na jinsia ya kiume lazima uchafu utokee. Wangapi huko makanisani wanafanya uchafu ?

Hapa siyo tu kuokoka bali jinsia hizi mbili zisikae karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…