Hizi hofu za mke kutoka nje huwa zinatokana na nn? Ukioa malaya si unamuacha? Ukiendekeza hizi hofu by 50 una kisukari.
Halafu, suala la kutooa kisa woga wa kushare, hata usipooa utakuwa na mpenzi atakayefanya ngono na wengine au utazaa na mwanamke atakayefanya ngono na wengine. Sasa tofauti yako na aliyeoa na mke wake kufanya ngono nje ni nn?
Sikilizeni, ndoa ni mkataba wa kisaikolojia tu, hakuna jambo tofauti zaidi ya saikolojia ya kujaribu kuikuza familia yako ndani ya wigo wa mwanamke mmoja lakini mwanamke ni yule yule, hata usipomuoa ukazaaa nae tu still hakuna tofauti na aliyeoa, Ndoa ikishindikana TOKA kwenye huo mkataba.
Kuhusu kupoteza mali na investment iwapo ndoa itavunjika, kabla ya kuingia mkataba wowote unaohusisha mali unatakiwa utumie akili sio mihemko.