Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
- Thread starter
- #61
Dp Yako ni hatari Darling [emoji2957][emoji2957][emoji2957]Hatari
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dp Yako ni hatari Darling [emoji2957][emoji2957][emoji2957]Hatari
Ohoooo!!Dp Yako ni hatari Darling [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unaniandikia kizungu😔.. unaniumiza kichwa
Poa mkuu
Mzee baba, Truth:u can’t maintain a relationship with a woman without money or something else she needs from you.Niliwahi kucomment kwenye uzi mmoja... Katika imani yangu..kuna mstari wa biblia unasema.."siku za mwisho upendo utapoa". There is no love in the world anymore. Honestly speaking tukimpenda Mungu hatutamkosea. Huyu mwanamke anaetajwa hapa hofu ya Mungu psuuu.. iko off. Unategemea atakuwaje??
Af sasa what happens..the flow is this way. Mke anafanya kazi. Anapata visenti. Anachoka pia kwasababu kazi nyingi na inabidi aplay majukumu fulltime kama mke nyumbani kwake. Hivyo kuna siku anarudi nyumbani yukohoi bin taaban. Anafeli kuplay role yake vizuri kama mke/ mama etc.
Mume analiona hili anamwambia (either kwa hekima au ugomvi). Mke anaona huyu anataka niache kazi. Kumbuka mke huyu hana muda na kulijua neno la Mungu. Yeye ni kazi, dinner dates/office gathering/vikoba weekend/ whatever. So mke anagrow horns anamjibu vibaya mume. The relationship inaanza strains.
Mke huyu ana visenti, kiwanja..biashara mbili anaona woii nijishushe iweje. Its me my kids and my life. Hakuna busara, hakuna hekima no Holy Spirit amkumbushe who she is. Anajisahau pesa zishamlevya long time kitambo.
Mke huyu ataanza kuona mme wake haeleweki. Atasema fine na akwendree. Huko kazini kuna this close workmate, handsome au wa kawaida tu.. anamtaniaga probably. Ananotice something wrong anakuwa anacare ile ile..anamtamani kichizi haloo so inabidi awe gentomani. Mke huyu anaenda nae somewhere anamwambia everything.
Huyu anaanza kufill nafasi ya mume wa mke huyu. Tena hampondi mwanaume mwenzake ila anapuliza af anang'ata tena. Huyu dada automatically kipochi manyoya atampa bwana huyu. And the home is automatically ruined. Kuijenga tena hii nyumba inahitaji highest level of deliverance.
So..wanawake kama wewe ni carrier lady and you are married...stay away from that " undertanding, cool, loving" workmate in your office au job. Because when there is a little misunderstandng na mme ako shetani atamleta huyo usipokua makini "utavunja nyumba kwa mikono yako". Sometimes learn to suck your problems on your own..au nenda far from ur office kuliko kumwambia wa hapohapo. Siku kikigeuka halooo
#italktoomuch#
Duh...Mbona WALOKOLE Wananyanduliwa Kwa Kwenda mbele huko Maofisini mkuu.....Yaani Maharage Ya Mbeya. Maji Kidoogo Yashaiva.unfortunately, kuna utani hadi wa kushikanashikana na kufanyiana ujinga maofisini, kimyakimya. mwisho huwa wanaenda guest/hotel za mchana. na wakati huohuo utakuta kuna wanaume wanawazuia wake zao wasiokoke na kumpokea Yesu Kristo, mke asiyeokoka anafanywa lolote, hata hao waliookika kama wanafanya ni wachache. mtu asipokuwa na Mungu moyoni, hakika unamegewa kwasababu hakuogopi wewe hata siku moja anamuogopa Mungu. sisemi kwa kusikia, hata zamani mimi mwenyewe nimefanya mengi sana kwa wake za watu maofisini kwetu. shida ni kwamba, we spend most of the time with your wives, kuliko wewe unayespend naye time jioni na usiku mnalala. wafanyakazi wanaspend time na wake zenu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa, wapo macho, wanaongea, wanataniana, utani mwingine wa kizinzikizinzi, wanasaidiana, wanabadilishana upendo,wanapendana n.k. kuna kipindi kwamfano hao waandishi wa habari wa radio walikuwa wanapukutika kwa ngoma radio nzima, wanaambukizana kwenye zile night...kesho yake wanazungushana wao kwa wao hadi kituo kizima kinaathirika. sitaki kutaja majina.
Utazeeka vipi kwa furaha na mwanamke unayejua watu fulani na fulani wamemla wakati mpo ndani ya ndoa. Naomba unijibu.ukioa kwa kiasi fulani umiliki unakuwa wako kipindi cha uzee kinahitaji faraga iliyoambatana na upendo kwa kuwa wakati huo kunauwezekeno raha si za msingi ila furaha ambayo inatengenezwa kwa muda mrefu.
Hamanishi waislam,anakusudia mfumo wa kiislam juu ya kukataza jinsia hizi mbili kuwepo bila ya "Hijab" UISLAM ulishaliona hili na ndio maana ulikataza me na ke kwa namna yoyote ile hakuna kuchanganyikaTunawala mno hao wanawake wa kiislamu, so hoja sio dini kwakua hakuna dini isiyokataza huo uchafu.
unfortunately, kuna utani hadi wa kushikanashikana na kufanyiana ujinga maofisini, kimyakimya. mwisho huwa wanaenda guest/hotel za mchana. na wakati huohuo utakuta kuna wanaume wanawazuia wake zao wasiokoke na kumpokea Yesu Kristo, mke asiyeokoka anafanywa lolote, hata hao waliookika kama wanafanya ni wachache. mtu asipokuwa na Mungu moyoni, hakika unamegewa kwasababu hakuogopi wewe hata siku moja anamuogopa Mungu. sisemi kwa kusikia, hata zamani mimi mwenyewe nimefanya mengi sana kwa wake za watu maofisini kwetu. shida ni kwamba, we spend most of the time with your wives, kuliko wewe unayespend naye time jioni na usiku mnalala. wafanyakazi wanaspend time na wake zenu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa, wapo macho, wanaongea, wanataniana, utani mwingine wa kizinzikizinzi, wanasaidiana, wanabadilishana upendo,wanapendana n.k. kuna kipindi kwamfano hao waandishi wa habari wa radio walikuwa wanapukutika kwa ngoma radio nzima, wanaambukizana kwenye zile night...kesho yake wanazungushana wao kwa wao hadi kituo kizima kinaathirika. sitaki kutaja majina.
Usije kubali hii kitu hata siku moja hakunaga urafik me na ke .Kwa hiyo mzeeya ni kwamba wanawake wanatudanganyaga wapo sema he is just a frend
Wewe umeeleweka.Hamanishi waislam,anakusudia mfumo wa kiislam juu ya kukataza jinsia hizi mbili kuwepo bila ya "Hijab" UISLAM ulishaliona hili na ndio maana ulikataza me na ke kwa namna yoyote ile hakuna kuchanganyika
Ndoa tamu Chalii. Mabroo wasikutishe!Unaoa ili ugundue nini? Kila siku ma bro wanalalamika mikasa ya ndoa halafu nikaoe kweli hapo si kujichimbia kaburi tu.
Wewe unaishi dunia gani? Nitajie dini ambayo haikatazi uzinifu. Wanaliwa wake wa masheikh unaongea nini wewe?Hao mnaowala nyinyi ni wanawake wa kiislam wapumbavu n wanawaiga malaya wa kigalatia. Binti wa kiislam anaejitambua hawezi kufanya hivyo. Na nliposema uislam una hekima ni kwa sababu uliwaambia hao mabinti wa kiislam watulie majumbani kwao kwasababu ya mambo kama haya
Atakuwa anayatumia wakati wa fumanizi Ili wake moto wote.Mafuta utayatumia wakati wa fumanizi, kabla ya fumanizi au baada ya fumanizi ?
Umeongeea ukweli maana kuna jambo moja tuu litatokea hapo...mbususu kusasambuliwaUsije kubali hii kitu hata siku moja hakunaga urafik me na ke .
Ishawahi nitokea manzi ananiambia ni friend tu ,akiwa na jamaa nae anampanga kuwa mm ni friend tu ,sema Kuna siku alikuja umbuka akatukosa wote baada ya kumnasa kwenye kumi na nane zangu .
Tokea hapo sitakag mtu wangu aniambie yule ni friend na shart la kudate na Mimi kwa mwanamke yeyote ni kutokua na mazoea na mwanaume yeyote tofaut na hapo siendelei na mtu .
Kitaa wananiita Malaya sabab ya kubadil madem kisa hizo mambo.
Kwasasa nimetulia na binti mmoja yeye alikubal kubadil had lain na Hana mazoea ya kijinga na wanaume na siku nikijajua Ana ukaribu na mwanaume yeyote huo ndio utakua mwisho wetu.
Huo ndio msimamo wangu ,mwanamke hawez kuwa rafik wa mwanaume kirahis hivyo.urafik huzaa mapenz.
Mzeeya unasasambua mbususu tuu hutaki urafiki wakijinga.Hilo jambo halipo, mimi mwenyewe sina urafiki na mtoto wa kike, ukiona nina mazoea na mtoto wa kike ujue namtaka, namuweka kwenye "frequency" zangu sasa itajulikana ni "fm" au "am".