Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Baba Ujue cheating only requires the right circumstances,confidence/curiosity and setting.Naona umetoboa mzinga wa nyuki tusuuuu...
Sio kutishana Ila nowadays it's hard to find under 37 year old married woman who hasn't been fckd outside marriage AiseeeeehSema mnapenda kutishana 🤣🤣
Hatari sanaunfortunately, kuna utani hadi wa kushikanashikana na kufanyiana ujinga maofisini, kimyakimya. mwisho huwa wanaenda guest/hotel za mchana. na wakati huohuo utakuta kuna wanaume wanawazuia wake zao wasiokoke na kumpokea Yesu Kristo, mke asiyeokoka anafanywa lolote, hata hao waliookika kama wanafanya ni wachache. mtu asipokuwa na Mungu moyoni, hakika unamegewa kwasababu hakuogopi wewe hata siku moja anamuogopa Mungu. sisemi kwa kusikia, hata zamani mimi mwenyewe nimefanya mengi sana kwa wake za watu maofisini kwetu. shida ni kwamba, we spend most of the time with your wives, kuliko wewe unayespend naye time jioni na usiku mnalala. wafanyakazi wanaspend time na wake zenu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa, wapo macho, wanaongea, wanataniana, utani mwingine wa kizinzikizinzi, wanasaidiana, wanabadilishana upendo,wanapendana n.k. kuna kipindi kwamfano hao waandishi wa habari wa radio walikuwa wanapukutika kwa ngoma radio nzima, wanaambukizana kwenye zile night...kesho yake wanazungushana wao kwa wao hadi kituo kizima kinaathirika. sitaki kutaja majina.
Uislam una hekima sna mkuuKuna ukweli ambao watu wengi na wajinga wengi wanaukataa aidha kwa kujua au kutokujua, ila kwenye huo ukweli ndiyo salama ilipo.
Ni kosa kubwa sana kuwachanganya viumbe hawa wawili sehemu yoyote ile unayoijua wewe. Kinyume chake mtakuwa mnajifariji tu.
Kumbe maofisini mnagegedana sanaMazee Tuelewe kwamba One thing everybody is capable of cheating
.
Kwa Maana KAmBa What u see happening in the office and at the workplace with ur female colleagues is what happens at ur wives' workplace Mzee Baba.![]()
![]()
.
Hii picha inaleta ujumbe sahihi niliousema hapo Juu, Huku maofisini Watu wanajunjana Sana
View attachment 2212743
Kwa hiyo mzeeya ni kwamba wanawake wanatudanganyaga wapo sema he is just a frendKuna ukweli ambao watu wengi na wajinga wengi wanaukataa aidha kwa kujua au kutokujua, ila kwenye huo ukweli ndiyo salama ilipo.
Ni kosa kubwa sana kuwachanganya viumbe hawa wawili sehemu yoyote ile unayoijua wewe. Kinyume chake mtakuwa mnajifariji tu.
🤣 🤣 🤣 🤣dogo tafuta mwanamke uoe usihangaike sana na vitu vinavyotakata na maji na sabuni! ndoa ni zaidi ya taasisi tendo la ndoa ni kitu kidogo sana by the way huwa havijai na wala penseli yako haiishi na haichongwi vumilia tu.Unaoa ili ugundue nini? Kila siku ma bro wanalalamika mikasa ya ndoa halafu nikaoe kweli hapo si kujichimbia kaburi tu.
Tatzo n kwamba wale wachache wanaokuwa s waaminifu mmewabebea bango, na kuwafanya wale waaminifu wasionekane tena.Sio kutishana Ila nowadays it's hard to find under 37 year old married woman who hasn't been fckd outside marriage Aiseeeeeh
Tunawala mno hao wanawake wa kiislamu, so hoja sio dini kwakua hakuna dini isiyokataza huo uchafu.Uislam una hekima sna mkuu
Kama naweza chakata mbususu hata kama sijaoa nioe ya nini? Kama naweza kupata watoto na sijaoa nioe iweje?🤣 🤣 🤣 🤣dogo tafuta mwanamke uoe usihangaike sana na vitu vinavyotakata na maji na sabuni! ndoa ni zaidi ya taasisi tendo la ndoa ni kitu kidogo sana by the way huwa havijai na wala penseli yako haiishi na haichongwi vumilia tu.
ukioa kwa kiasi fulani umiliki unakuwa wako kipindi cha uzee kinahitaji faraga iliyoambatana na upendo kwa kuwa wakati huo kunauwezekeno raha si za msingi ila furaha ambayo inatengenezwa kwa muda mrefu.Kama naweza chakata mbususu hata kama sijaoa nioe ya nini? Kama naweza kupata watoto na sijaoa nioe iweje?
Hizi hofu za mke kutoka nje huwa zinatokana na nn? Ukioa malaya si unamuacha? Ukiendekeza hizi hofu by 50 una kisukari.Sio kutishana Ila nowadays it's hard to find under 37 year old married woman who hasn't been fckd outside marriage Aiseeeeeh
Sawa bro ngoja nitafakari maneno hayo.ukioa kwa kiasi fulani umiliki unakuwa wako kipindi cha uzee kinahitaji faraga iliyoambatana na upendo kwa kuwa wakati huo kunauwezekeno raha si za msingi ila furaha ambayo inatengenezwa kwa muda mrefu.
Hilo jambo halipo, mimi mwenyewe sina urafiki na mtoto wa kike, ukiona nina mazoea na mtoto wa kike ujue namtaka, namuweka kwenye "frequency" zangu sasa itajulikana ni "fm" au "am".Kwa hiyo mzeeya ni kwamba wanawake wanatudanganyaga wapo sema he is just a frend
Mafuta utayatumia wakati wa fumanizi, kabla ya fumanizi au baada ya fumanizi ?Huyu work mate ajui kuwa mafuta yamepanda kweli