Mkeo anavyomegwa na Wafanyakazi wenzao ofisini

Mkeo anavyomegwa na Wafanyakazi wenzao ofisini

Mazee Tuelewe kwamba One thing everybody is capable of cheating
.
Kwa Maana KAmBa What u see happening in the office and at the workplace with ur female colleagues is what happens at ur wives' workplace Mzee Baba.
emoji1787.png
emoji1787.png

.
Hii picha inaleta ujumbe sahihi niliousema hapo Juu, Huku maofisini Watu wanajunjana Sana

View attachment 2212743
Ongeza picha
 
Tumeusiwa kuoa Ila kiukweli anayeoa nyakati hizi huwa namuona shujaa hasa.
kila mtu ana matatizo yake lakini ndoa zina matatizo Yale yale kila siku.
Wakati mwenzio analalamika mwenza wake anafanya vituko hivi na vile,usiyeoa unajipa moyo kuwa ntayaweza.
ukiingia ndoani yanakukuta makubwa mpaka unahisi umebeba dunia.
Mtu anayenambia nioe huwa nina mashaka kama ana nia njema na mimi.vijana oeni,tunaishi Mara moja tu.
 
Sasa wewe ndiyo unajifariji, mwanamke yeyote hata aokoke vipi ukimuweka karibu na jinsia ya kiume lazima uchafu utokee. Wangapi huko makanisani wanafanya uchafu ?

Hapa siyo tu kuokoka bali jinsia hizi mbili zisikae karibu.
Umesahau kuongezea hapo kuwa hao wachungaji wa siku hizi wanawala sana wake za watu.
wenyewe wanajiita watu wa Mungu,huyu mkewe hata akiitwa na Pastor saa 9 usiku akaombewe yeye roho yake Safi tu.Mungu amembariki ana Imani kubwa sana.,na ni nzuri kwake.
Kitu kimoja nna uhakika nacho mategemeo makubwa ndo huwa yanatufanya tuumie zaidi yakitukuta.
 
unfortunately, kuna utani hadi wa kushikanashikana na kufanyiana ujinga maofisini, kimyakimya. mwisho huwa wanaenda guest/hotel za mchana. na wakati huohuo utakuta kuna wanaume wanawazuia wake zao wasiokoke na kumpokea Yesu Kristo, mke asiyeokoka anafanywa lolote, hata hao waliookika kama wanafanya ni wachache. mtu asipokuwa na Mungu moyoni, hakika unamegewa kwasababu hakuogopi wewe hata siku moja anamuogopa Mungu. sisemi kwa kusikia, hata zamani mimi mwenyewe nimefanya mengi sana kwa wake za watu maofisini kwetu. shida ni kwamba, we spend most of the time with your wives, kuliko wewe unayespend naye time jioni na usiku mnalala. wafanyakazi wanaspend time na wake zenu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa, wapo macho, wanaongea, wanataniana, utani mwingine wa kizinzikizinzi, wanasaidiana, wanabadilishana upendo,wanapendana n.k. kuna kipindi kwamfano hao waandishi wa habari wa radio walikuwa wanapukutika kwa ngoma radio nzima, wanaambukizana kwenye zile night...kesho yake wanazungushana wao kwa wao hadi kituo kizima kinaathirika. sitaki kutaja majina.
Tunawatafuna Sana walokole kuliko unavyodhani.
The only thing anahitaji ni kumuonesha kuwa utamfichia Siri.!!
Kwa hiyo hakuna kwa kuponea

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hao mnaowala nyinyi ni wanawake wa kiislam wapumbavu n wanawaiga malaya wa kigalatia. Binti wa kiislam anaejitambua hawezi kufanya hivyo. Na nliposema uislam una hekima ni kwa sababu uliwaambia hao mabinti wa kiislam watulie majumbani kwao kwasababu ya mambo kama haya
hii ndiyo namna yako ya kureason?
 
Hawatakaa mwanamke na mwanamme wawili ila wa tatu atakuwa ibilisi sijui naeleweka
Kuna ukweli ambao watu wengi na wajinga wengi wanaukataa aidha kwa kujua au kutokujua, ila kwenye huo ukweli ndiyo salama ilipo.

Ni kosa kubwa sana kuwachanganya viumbe hawa wawili sehemu yoyote ile unayoijua wewe. Kinyume chake mtakuwa mnajifariji tu.
 
Unfortunately, kuna utani hadi wa kushikanashikana na kufanyiana ujinga maofisini, kimyakimya. mwisho huwa wanaenda guest/hotel za mchana. na wakati huohuo utakuta kuna wanaume wanawazuia wake zao wasiokoke na kumpokea Yesu Kristo, mke asiyeokoka anafanywa lolote, hata hao waliookika kama wanafanya ni wachache. mtu asipokuwa na Mungu moyoni, hakika unamegewa kwasababu hakuogopi wewe hata siku moja anamuogopa Mungu. sisemi kwa kusikia, hata zamani mimi mwenyewe nimefanya mengi sana kwa wake za watu maofisini kwetu.

Shida ni kwamba, we spend most of the time with your wives, kuliko wewe unayespend naye time jioni na usiku mnalala. wafanyakazi wanaspend time na wake zenu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa, wapo macho, wanaongea, wanataniana, utani mwingine wa kizinzikizinzi, wanasaidiana, wanabadilishana upendo,wanapendana n.k. kuna kipindi kwamfano hao waandishi wa habari wa radio walikuwa wanapukutika kwa ngoma radio nzima, wanaambukizana kwenye zile night...kesho yake wanazungushana wao kwa wao hadi kituo kizima kinaathirika. sitaki kutaja majina.
Akiokoka ndio hatombwi !? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dream on, achana na nyege kabisaaa sio kitu Cha mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom