Mkeo anavyomegwa na Wafanyakazi wenzao ofisini

Mkeo anavyomegwa na Wafanyakazi wenzao ofisini

Akiokoka ndio hatombwi !? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Dream on, achana na nyege kabisaaa sio kitu Cha mchezo mchezo
ninachokishangaa ni kwamba, sisi tuliookoka na ambao wake zetu wameokoka, mnataka kutulinganisha na wake zenu walevi na wasiojiheshimu. ninyi ndio mnajifariji. na ninawashauri muwaruhusu wake zetu wahudhurie makanisani (makanisa yanayoeleweka yanayohubiri wokovu, sio makanisa ya manabii wa uongo), ili pengine na ninyi mponywe kupitia wao. ukiokoka, kitu kinaitwa uzinzi hata mtu akikukalia uchi utaona uchafu tu, ndio maana ya wokovu, sisi binafsi hatuna uwezo kushinda dhambi, ila Mungu akiwa ndani yetu anatuwezesha kushinda dhambi. inawezekana kabisa.
 
Tunawatafuna Sana walokole kuliko unavyodhani.
The only thing anahitaji ni kumuonesha kuwa utamfichia Siri.!!
Kwa hiyo hakuna kwa kuponea

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
unawatafuna walokole wanaoabudu dini au wale ambao hawajamjua Mungu vizuri. hao wapo, sibishi, hata mimi enzi zengu niliwatafuna sana. ila ukweli ni kwamba, ukiwa kwenye utumwa wa dhambi hauwezi kujua maana ya kuwa huru na dhambi. Yesu akikuweka huru unakuwa h uru kwelikweli,hayo yote utaona ni kama mavi. i am telling you. hatushiindi kwa uwezo wetu, hadi Yesu aingie ndani ashinde dhambi na akuwezeshe kushinda dhambi. nuru na giza havikai pamoja, nuru ikishaingia kwako giza linakimbia kabisa. sijui nikwambieje.
 
Achana na upumbavu wa kuokoka. Hao hao waliyookoka wanagaw kama pi[pi. Wanadanganyana tena mno. Hao sijui maaskofu au wachungaji ndiyo mafuska wakuu, wakiwadanganya eti waliongea na Mungu usiku akawambiwa wajibanjuwe. Kwenye hiyo kitu hakuna cha uokovu wala nini. Uesharati hushindwa na tabia ya mtu mwenyewe na siyo uokovu. Kwani ukiokoka hugeuka malaika na kupoteza matamanio ya binadamu! Mbona mnahubiri utajirisho, huku mkidai sadaka. Kama utajirisho unalet5wa kwa njia si muhubiri atakuwa wa kwanza lakini bado mnawakamuwa waumini!
hata hujui unachoongea,sijui umetoka kulewa? wewe wa kwako ni wepi sasa? hao mapadre ambao hawaoi ila kwenye mission wanawekewa masista wasioolewa, na ambao sio bikra?
 
ninachokishangaa ni kwamba, sisi tuliookoka na ambao wake zetu wameokoka, mnataka kutulinganisha na wake zenu walevi na wasiojiheshimu. ninyi ndio mnajifariji. na ninawashauri muwaruhusu wake zetu wahudhurie makanisani (makanisa yanayoeleweka yanayohubiri wokovu, sio makanisa ya manabii wa uongo), ili pengine na ninyi mponywe kupitia wao. ukiokoka, kitu kinaitwa uzinzi hata mtu akikukalia uchi utaona uchafu tu, ndio maana ya wokovu, sisi binafsi hatuna uwezo kushinda dhambi, ila Mungu akiwa ndani yetu anatuwezesha kushinda dhambi. inawezekana kabisa.
Sisi tuna wajua hao wake zenu , kama ana kudanganya kuwa haliwi shauri yako , [emoji1787]
 
Sisi tuna wajua hao wake zenu , kama ana kudanganya kuwa haliwi shauri yako , [emoji1787]
sasa wewe mlevi una pata wapi mandate hata ya kubishaana na mimi wewe. acha uzinzi na ulevi uokoe maisha yako. sisemi kwamba nakudharau au kukuhukumu, ila nasema kwasababu najua upo kwenye utumwa wa dhambi na unayoyaongea hata huyajui. akili yako ipo mikononi mwa shetani.
 
Wadau kadhaa kwanza turekebishe kauli kuuita huo ni uchafu!
Ukweli ni kwamba kitu chochote unnatural huwa kina sustain kwa mashinikizo.
Natural language ni binadam wana haki ya kujamiiani bila mipaka! Kadri asili inavyowapangia!
Ndoa ni unnatural. Ni zao la ubinafsi tu!
So, njia pekee ya kuwa salama ukiwa na mwenza au life partner ni kumwacha afanye natural thing akitaka na asipotaka aache! Do not bother! Just play your part unapokuwa nae, mipaka yako inaishia hapo baaaas! Mf mwanamke hana nyenzo yoyote ya kumfanya mmewe asichepuke! Hakuna wa kuishinda nature.
Wenye wivu na ubinafs dhidi ya asilia tulishakubaliana kutokukubaliana kwamba marriage was not meant for everybody! Huwez kujimilikisha mwili wa mtu! Huko ni kuua cells zako za kuishi mda mrefu zaid, kwa makusudi.
 
You seems to be a God fearing person. Let me help with the verse kuhusu siku za mwisho maana imezungumza mengi ukiacha hilo ulilolitaja la upendo kupungua.
Neno linatoka kitabu cha 2 Timotheo 3:1-5

Lakini ufahamu neno hili, ya kuwa siku za mwisho kutakuwako nyakati za hatari. Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi, wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda mema, wasaliti, wakaidi, wenye kujivuna, wapendao anasa kuliko kumpenda Mungu; wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.
2 Tim 3:1‭-‬5 SUV

Wabarikiwe watakaoelewa…
Nakubali mtumishi and the endtime is soo here. Too sad nobody cares anymore. Very sad indeed. Thanks for the remark though naomba na mimi nisiwe hao wa mfano wa utauwa..we need to be true to HIM.
 
Akicheat huko ofisini nami nawahi home mapema nacheat na house girl wetu inakuwa ngoma Droo.
 
Unfortunately, kuna utani hadi wa kushikanashikana na kufanyiana ujinga maofisini, kimyakimya. mwisho huwa wanaenda guest/hotel za mchana. na wakati huohuo utakuta kuna wanaume wanawazuia wake zao wasiokoke na kumpokea Yesu Kristo, mke asiyeokoka anafanywa lolote, hata hao waliookika kama wanafanya ni wachache. mtu asipokuwa na Mungu moyoni, hakika unamegewa kwasababu hakuogopi wewe hata siku moja anamuogopa Mungu. sisemi kwa kusikia, hata zamani mimi mwenyewe nimefanya mengi sana kwa wake za watu maofisini kwetu.

Shida ni kwamba, we spend most of the time with your wives, kuliko wewe unayespend naye time jioni na usiku mnalala. wafanyakazi wanaspend time na wake zenu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa, wapo macho, wanaongea, wanataniana, utani mwingine wa kizinzikizinzi, wanasaidiana, wanabadilishana upendo,wanapendana n.k. kuna kipindi kwamfano hao waandishi wa habari wa radio walikuwa wanapukutika kwa ngoma radio nzima, wanaambukizana kwenye zile night...kesho yake wanazungushana wao kwa wao hadi kituo kizima kinaathirika. sitaki kutaja majina.
Hatarii Sana hii
 
Kuna watu wameoa lakini baada ya kupata magonjwa /uzee wake zao Waka wakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au kama Hawa kuwakimbia waliwanyanyasa mnooo
🤣 🤣 🤣 inategemea ujana waliishije ndo maana nasema furaha inatengenezwa
 
Kuna watu wameoa lakini baada ya kupata magonjwa /uzee wake zao Waka wakimbia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au kama Hawa kuwakimbia waliwanyanyasa mnooo
Anakutreat ulivyomtreat.
 
Utazeeka vipi kwa furaha na mwanamke unayejua watu fulani na fulani wamemla wakati mpo ndani ya ndoa. Naomba unijibu.
uzeeni hivyo sio issu si alishaoga ?
 
Mtoa uzi upo sahihi 100%, kiukweli haya mambo yapo na yanafanyika sana tu 'hapa sihitaj mabishano'
Hali ni mbaya
 
Back
Top Bottom