Mkeo anavyomegwa na Wafanyakazi wenzao ofisini

Mkeo anavyomegwa na Wafanyakazi wenzao ofisini

Unfortunately, kuna utani hadi wa kushikanashikana na kufanyiana ujinga maofisini, kimyakimya. mwisho huwa wanaenda guest/hotel za mchana. na wakati huohuo utakuta kuna wanaume wanawazuia wake zao wasiokoke na kumpokea Yesu Kristo, mke asiyeokoka anafanywa lolote, hata hao waliookika kama wanafanya ni wachache. mtu asipokuwa na Mungu moyoni, hakika unamegewa kwasababu hakuogopi wewe hata siku moja anamuogopa Mungu. sisemi kwa kusikia, hata zamani mimi mwenyewe nimefanya mengi sana kwa wake za watu maofisini kwetu.

Shida ni kwamba, we spend most of the time with your wives, kuliko wewe unayespend naye time jioni na usiku mnalala. wafanyakazi wanaspend time na wake zenu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa tisa, wapo macho, wanaongea, wanataniana, utani mwingine wa kizinzikizinzi, wanasaidiana, wanabadilishana upendo,wanapendana n.k. kuna kipindi kwamfano hao waandishi wa habari wa radio walikuwa wanapukutika kwa ngoma radio nzima, wanaambukizana kwenye zile night...kesho yake wanazungushana wao kwa wao hadi kituo kizima kinaathirika. sitaki kutaja majina.
Hamna kitu hapo. Watu wananyanduana makanisani humohumo wengne wake za watu wanasingizia wanaenda ibada za jion kumbe wanaenda kunyanduliwa. Dunia imeyumba wanadamu tumechafukwa, shetani amekuwa raisi wa Dunia ameingia kote kote mitaani, maofisini, majumbani mpaka makanisani wanamuabudu.

Mungu atusaidie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Akicheat huko ofisini nami nawahi home mapema nacheat na house girl wetu inakuwa ngoma Droo.
Kijana acha utoto. Unafikiri utagundua kirahisi kuwa mkeo kagegedwa?

Ukigundua kuwa mkeo anagegedwa au na mahusiano na workmates wake ujue ameanza huo mchezo miaka kama mitatu au minne nyuma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kijana acha utoto. Unafikiri utagundua kirahisi kuwa mkeo kagegedwa?

Ukigundua kuwa mkeo anagegedwa au na mahusiano na workmates wake ujue ameanza huo mchezo miaka kama mitatu au minne nyuma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Msitishe watu nyie waza kufanya Kazi usikubali mkeo kwenda kufanya Kazi Kwa Mwanaume aliyekuzidi kila kitu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hamna kitu hapo. Watu wananyanduana makanisani humohumo wengne wake za watu wanasingizia wanaenda ibada za jion kumbe wanaenda kunyanduliwa. Dunia imeyumba wanadamu tumechafukwa, shetani amekuwa raisi wa Dunia ameingia kote kote mitaani, maofisini, majumbani mpaka makanisani wanamuabudu.

Mungu atusaidie

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo umeona ni kanisani Tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kijana acha utoto. Unafikiri utagundua kirahisi kuwa mkeo kagegedwa?

Ukigundua kuwa mkeo anagegedwa au na mahusiano na workmates wake ujue ameanza huo mchezo miaka kama mitatu au minne nyuma.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sio kweli’ not applicable to all.. mfano me nikicheat, yan ndio niingie kwenye cheating uwaga sitoboi week nishadakwa 🤣

Sijui nakosea wapi!! Au uwa nahama na feelings zote kwa main napasahau au 😂
 
Sasa wewe ndiyo unajifariji, mwanamke yeyote hata aokoke vipi ukimuweka karibu na jinsia ya kiume lazima uchafu utokee. Wangapi huko makanisani wanafanya uchafu ?

Hapa siyo tu kuokoka bali jinsia hizi mbili zisikae karibu.
Kuna Mwalimu wa Kwaya ana wanawake 4 ndani ya kanisa la kiproyestanti na yeye ni Mlokole hualikwa kufundisha Kwaya.
Huyo anayeongelea kuokoka akae kimya.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Sio kweli’ not applicable to all.. mfano me nikicheat, yan ndio niingie kwenye cheating uwaga sitoboi week nishadakwa 🤣

Sijui nakosea wapi!! Au uwa nahama na feelings zote kwa main napasahau au 😂
Wanawake wote mpo hivyo, shida mnahamisha hisia zote zinaenda kwa mtu mwingine, kwahiyo kujulikana ni rahisi sana.
 
Back
Top Bottom