mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
umeshasahau ile experirnce??😂kuwa chamani si sawa na kumega
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeshasahau ile experirnce??😂kuwa chamani si sawa na kumega
Yaniiii acha kabisa udugu akee kuna wanaume ni wamebarikiwaaaaaa nyieee auwiiiiiiiiiiiii!!!Endeleaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😀 😀 😀 😅 ipi, mbona tunatishana tenaumeshasahau ile experirnce??😂
Hahahaha hope mnaenjoy maishayeye mwenyewe huwa ananiuliza ulinipendea nini.. namuambia hata sijui yani [emoji28][emoji28]
Rova ni moja ya ramani katika maisha yangu ambapo siwezi iruka lazima Niende kuwacheki wana na wazee hasa nikiwapa ahadi.mtoto wa Ilala Boma huyo, ndiyo uko hapo ? au uko Rova ?
na Monduli je ?Rova ni moja ya ramani katika maisha yangu ambapo siwezi iruka lazima Niende kuwacheki wana na wazee hasa nikiwapa ahadi.
Walinivusha vigingi. ILALA ni place pendwa kwangu.
hapana kakosea hapo, ilibidi amtag Extrovert siyo mimiKumbe wewe ndio uliyenfanya kaacha nyeto [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
dronedrake mbona hukusema bro
Mapenz ndivyo yalivyo ......Watu hubadilikaNilishindwa kumuepuka tukiwa chuo,akategesha akajaa, nikakosa ujanja leo nalea japo kani chenjia huwezi amini!!niliacha pis yangu kali kisa yeye!
NAUMIA sana!
Unamchezea mkuu wa wilaya shere au sio [emoji1787]
Wewe umezidi [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ukorofi ndio unanogesha au hujui hilo.
Oya huyo manka malisafii😎View attachment 2668137
Wacha weeeeh Azhan huyoo.
Tema tumchapee basi 😀Wewe umezidi [emoji28]
poa mzee, karibu Fancy Food , Segerea paleNilienda kwa Mujibu nikachaguliwa kujitolea. Oya acha niishie hapa Zungu.
Sijafunga ngoja nijeHata piemu umefunga.
kumbe DC MTAMUU
Mkipigana chini pia msisahau kusabskraibu humu[emoji41][emoji41][emoji41]
Kumbe upo Segerea Mwanetu.poa mzee, karibu Fancy Food , Segerea pale
Hahahah kweli au unanipanga tu🤣? Naona mnainjoy sadaka zetu tu hapoHapo ulimuita mtu mwingine maana hiyo id inatumiwa na mtu mwingine.
Weeeeh!! Mie nilishaokoka sasa ni mama mchungaji. Halafu ni muhazini wa kanisa.
hapana, leo naenda bonyea pale mida flani ya bundiKumbe upo Segerea Mwanetu.