Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Mapenz ndivyo yalivyo ......Watu hubadilika
Sijui alinionaje,niligundua alianza kunifuatilia kitambo sana!

Yaani hata kipindi nina mawazo au naumwa alikuja nambia kuhusu vipindi hivyo!!

Nilishtuka nikadhani ni mpelelezi nini!!

Halafua lijuaje kua sitomtelekeza akinibebea mzigo!!?I wonder!!

Namuona kashiba sasa!ni kama vile ananionyesha SASA anaweza ishi mwenyewe!!!

Wait mwingine nacheka KWA nguvu sana hata sielewi nini nifanye!

SASA;-

Action number 1.change working place ,two new work somewhere in Africa!seeing from a far!
 
Mbona kama unamuongelea demu wangu Frida 🤣
 
Pole sana....watu hubadilika mkuu.....ongea nae myamalize labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…