Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Wewe ni malaya tu maana malaya tu ndio wenye sifa hizo maana yake siku akikosa hela hakuna upendo kwa maana hiyo wewe humpendi yeye ila unapenda pesa na akija mwenye pesa zaid unahamisha mapenz sasa hapo kuna mtu au kikoba
Sawa.
 
Mbona anajua Bro?
Alivyokuwa ananitongoza aliniambia “mwanamke kama wewe sio wa kutembea na vijana ambao hawana hela , wewe ni wa kuwa na watu wenye hela kama mimi nitakupa kila kitu” . Nikamkubalia.
Watu wanateseka na yasiyowahusu 🤣🤣🤣
 
Mbona anajua Bro?
Alivyokuwa ananitongoza aliniambia “mwanamke kama wewe sio wa kutembea na vijana ambao hawana hela , wewe ni wa kuwa na watu wenye hela kama mimi nitakupa kila kitu” . Nikamkubalia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemjibu kikatilii mnoo. Uwiiiiih
 
Mosi nilimkuta bikra.
Pili,ana tako kubwa na hips.
Tatu,alivyo tu,nampenda.Nahisi hata asingekua na hivyo nilivyovitaja,ningempenda tu.
 
Back
Top Bottom