Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

Limeisha uduguu wewe niambie tu aliyekuvutia nina ma bro wengi humu wako single [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa Humu mie siwaweziii uduguuuu nifanyie wepesi huko kwa kitaa kwaniii !

Niangalizie mzee asie na mambo mengiii uduguuu!!!
 
Napambana si unajua bro wangu gentleman pisi zinamgombea, mchuano ni mkali kuwa mvumilivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]

Sawa wizo. Ngoja nikae kwa kutulia.
 
Back
Top Bottom