Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema mwamba kafeli kwenda hospital. Mimi iyo ingeisha kimya kimya.😂😂😂😂😂😂😂😂
Ntafanyaje sasa.....kashaning'ata tena
"Dunguso" ndio D*ck eeehh!Nawaza tu hapo alikuwa anamnyonya mate ndio akafanywa hivi, je ingekuwa kampa DUNGUSO anyonye, saa hizi jamaa angekuwa na majuto makubwa, 🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂Sema mwamba kafeli kwenda hospital. Mimi iyo ingeisha kimya kimya.
Sijui anataka aonewe huruma 🤣🤣 au kuna posho atapewa ofisini??😂😂😂😂😂😂😂
Kwanini apige picha vile alafu mbona kama yupo comfortable
Ndio hilo hilo , zee la kazi, UMSOLOPAGAZI, duduKILA. 🤣"Dunguso" ndio D*ck eeehh!
🤣🤣 hiki kizazi cha JF kwa maneno ,Aiseeeeh!
Ivi icho kipande cha apo kwenye lips kitafaa kurudishiwa tena ? Au ndio mwamba anaenda kuwa na mdomo sungura.😂😂😂😂😂😂😂
Kwanini apige picha vile alafu mbona kama yupo comfortable