macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Wabongo wengi hatujui privacy. Au niseme ni malimbukeni wa social media. Hatuchagui tu-post nini tukidhani ndiyo ujanja wa kisasa na tuko tayari kupiga picha chochote.Sijui anataka aonewe huruma 🤣🤣 au kuna posho atapewa ofisini??