Mkeo au Mumeo akikufanya hivi, utachukua hatua gani?

acha kuwaza uzinzi kijana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wee umeshindwa... Mimi je ntaweza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ngoja nisubiri antiel atoke kazini
 
ushanikwaza tayar ebu toka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸšΆπŸΎβ€β™€οΈπŸšΆπŸΎβ€β™€οΈ
 
Leo kuna nyama za kutosha ujue...
Yaani kuna za kuchemsha kuna za kukaanga wewe tuu...

Fanya ukuje πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Sometimes kuwaonea huruma wanaume wenzetu walio-ignore red flags kabla ya ndoa ni kuwadekeza.

Kwanza haitakuja kutokea.
Hizo red flags hadi upate nafasi ya kuona, kuna watu wanaojua kuficha makucha, by the time unakuja kuona tayari mpo. Kwenye deep relation na mtoto keshapatikana.
 
Red flags zikogo wazi bro, sema watu wanazi-ignore kwasababu ya mapenzi ila tabia haijifichi baada ya miezi mitatu.
 
Mhh asee naamini hujawahi kukutana na watu wanaojua maigizo!!
It's green all the way, until anabeba mimba ndo unaona rangi zote..
 
Nimeshakutana nao.
Kilichonisaidia ni maarifa kuhusu Hypergamy.
 
Leo kuna nyama za kutosha ujue...
Yaani kuna za kuchemsha kuna za kukaanga wewe tuu...

Fanya ukuje πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
yaani nije kwa mshangaz wako mxiuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii nchi kuna kila aina ya vituko, hii mpya, hapo walikuwa wanapigana au walikuwa kwenye penzi nzito?
 
Back
Top Bottom