Mkeo au Mumeo akikufanya hivi, utachukua hatua gani?

Mkeo au Mumeo akikufanya hivi, utachukua hatua gani?

πŸ˜‚ Lakini yule manzi nilikwambia sio we ukasema eti ni mtamu kwa kumuangalia tu πŸ˜‚
Sasa kwenye Ishu kama ya Mziki na Mpira huwa hukuna β€œCONSEQUENCE” Kubwa...Matokeo yake huwa ni Madogo au hayapo Kabisa.

Yaani...

Wewe hata kama Ukisema Zidane ni BORA kuliko Kelvin De Bruyne huwezi Kupata Madhara yoyote yale kwenye Maisha yako.

LAKINI... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa,aliambiwa autege huo mdomo wamfotoe au ni kimbelembele cha kuonesha umma anavyokoyongwa na kuendea haki kwa mkewe?Hata hivyo,ni makosa sana kufanyiana ukatili majumbani.Ukatili huzaa hasira,uchungu,uadui,visasi na familia kuyumba sana.Tuchunge hasira na matendo ovu wakati wa hasira ili kuzuia matokeo hasi.
 
Back
Top Bottom