Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na mke wangu tunashare simu kila mmoja ana simu mbili,na kila simu password tumeshea hakuna usiri wala nini tuko freee sanaTangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
Itakuwa ww ni mfano mzuri wa kuigwaMimi na mke wangu tunashare simu kila mmoja ana simu mbili,na kila simu password tumeshea hakuna usiri wala nini tuko freee sana
Sio sahihi kuhukumu hivyo,mimi nina line zote nimegawa mafungu simu zangu kama wizara ,hii waumini wenzangu kanisani hii watoto mke, wakwe, wazazi, hii marafiki, hii wajasiliamali wenzangu,hiii tuliosoma naoOndoeni hofu! Ngawa kwa wengine ni hatari anamakundi mengine ni mbadala!Mtu kama masau bwire atakuwa Malaya sana yule jamaa ana simu kibao hata 7 zinafika ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuwa huna mitandao yote,kiswaswadu hakiishi chaji haraka na ni rahisi kutumia kuliko hizo smartphone zenu kutwa kwenye chaji kama mtoto aliyedungwa sindano maumivu yake unambembeleza kwa nyonyo.
Mimi na mke wangu tunashare simu kila mmoja ana simu mbili,na kila simu password tumeshea hakuna usiri wala nini tuko freee sana
100%Ukiwa na mke au mume halafu ukawa na vijitabia vya kuficha simu au password za simu yako au account yako ya bank bado hujapata mwenza sahihi. Ukiona hivyo heri utoke nje ya uwanja upate nafasi ya kujitafuta upya
100%
Ila unafanya hivyo kweli, mama D ? Because, usikute unatufundisha vitu vigumu ama visivyo practical jamani.
Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia
Nitumie namba yake PM nijiridhishe.Muulize shemeji yako hapa😃😃😃
Haiji kirahisi, inahitaji imani na sacrifice. Na zaidi inahitaji kila mmoja wenu awe na mchango kwenye mahusiano kijamii, kihisia hata kiuchumi sio unadai account ya mtu wakati wewe huna unalofanya kuiimarisha. Tumevuka vihunzi vingi na hicho kikiwa kimojawapo
Nitumie namba yake PM nijiridhishe.
Kuna watu wanaishi maisha magumu sana kwa sababu wameruhusu kuendeshwa na Shetani.Tangazo muhimu kwa wote ukiona mumeo au mkeo ana simu mbili moja kubwa touch alafu ana kile kidogo maarufu kiswaswadu yes kiswaswadu kaaa nacho mbali mnooooooooo utakuja nishukuru usikiguse narudia kaaa nacho mbali mnooooooo usije sema atukukwambia