Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Mkuu, sawa nimekuelewa, ila hapo kwa wazazi wangu umekosea.

Mimi mama yangu (76-80 age) bado anamtngea maji mzee na anamkaribisha chakula. Siawahi kuona mzee anajipakulia chakula wala kujitengea maji ya kuoga.

Sio kwa wazaz wangu tu, hata mabroo zangu wote Ni hivo.

Mnawaendekeza wake zenu dadeki
Umekariri maisha, huyo mama yako ameshamaliza majukumu ya watoto

Mapenzi ya ujanani kabla ya watoto yanafanana sana na ya uzeeni watoto wakishaondoka nyumbani

Hao kaka zako kutengewa maji sio justification kwamba ni utaratibu wa lazima

Kwa hili la wanawake wenye watoto nawaunga mkono

Huwa nakaa namuangalia anavyoendesha mambo najiona kabisa mimi nisingeweza

Kwahiyo saa zingine sisemi nabeba maji naenda kuoga mwenyewe
 
Sema kuna namna jamaa atakuwa anakosea kuwa handle hao wanawake. Kaa nae vizuri msome utaona tu kuna mahala as a man anakosea. If you treat a woman right hawezi kukuletea ngebe unless awe na tatizo zaidi ya fedha.🤣🤣🤣

Unaona hawa wote wanaonipondea hapo chini kuwa mie mkatili and mkoloni ila trust me I might likely be the most satisfying partner that they could never have..!!!😂😂😂

Put a woman in her place atakuheshimu always. Mwanaume lazma uwe kama linesman, just raise the flag whenever neccessary!
Wacha weeeeee usiniambieee....😂😂😂
 
Ntamshauri nini wakati hata mimi moto unaniwakia[emoji23][emoji23][emoji23]tukionana kufarijiana ndio ananipa stori hizo

Kuna mdau hapo juu amesema bahati nzuri anaishi mbali na familia angeshakua segerea nimecheka sana, wakati jamaa yangu anawaza kujipozea kwa X wake mimi nawaza kuihama familia, ntakua nakuja kuwaona tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe watu Wana matatizo kwenye familia kiasi hicho☹️☹️Aise
 
Usioe basi ishi mwenyewe hakuna wakuja kukulazimisha mkuu we tafuta hela kula maisha.
 
Hakuna mwanamke wa kawaida bali kuna wanawake aina mbili:
1. Understanding
2. Non-Understanding

Kundi la kwanza (Understanding) sifa zao:
- Open minded, huwa wako real to themselves and their patners

- Hawapendi makelele/malumbano.

- Husikiliza zaidi kuliko kuongea

- Wepesi wa kujishusha inapobidi ili kusawazisha mambo.

- Wako positive and very supportive in different situations..humbleness!

- Hawana calibre ya ujuaji.

- Mara nyingi hupenda kupata suluhu ya matatizo upesi kabla mambo hayajawa mengi.

Kundi la pili hawa (Non-Understanding):
- Closed minded, hawawezi kuelezea hisia zao ila wanataka wewe ujue anachotaka as if we ni malaika.

- Argument oriented, jambo dogo litakuzwa ilimradi muanze kuparuana tu...ukikasirika basi hapo moyo wake unakuwa baridi kwamba kakukomesha.

- Wajuaji, huwezi mshauri kitu maana yeye anajua zaidi...kumbe kasikia kwa shoga yake flani huko anakomalia anachotaka yeye ndio kiwe. Ukimkatalia ukafanya lako ujue nyumba haitakalika.

- Attention seeking, kususa ni silaha yao kubwa hawa viumbe wa kundi hili. Atakunyima unyumba, ataacha kukufungulia geti, atakuchunia ili tu akukomeshe na raha yake aone mwisho wewe ndio umejipendekeza.

- Ulalamishi mwingi na masimango, KE hawa hupenda kuongea sana, atalalamika kuhusu hiki, mara kile mara mbona hauko kama fulani.

- Hawapendi kuwa responsible katika situations, Usiombe kufanya plan na mwenza wa kundi hili halafu ishu ikabuma. Lazma atatafuta namna ya kuonesha kwamba wewe ndio umesababisha ishu ifeli ilimradi tu akusimange na kukuangushia jumba bovu. Hata kama wazo alitoa yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Je, mkeo anatokea katika kundi gani hapo? Let's share!
Wengi wapo namba 2
Namba moja duniani hawafiki hata million
 
Kwakweli tumetofautiana sana..mimi pia baba na mama yangu niliwashuhudia maisha yao kwanza mama alikua hali mbaka baba arudi wale wote na kama akipiga cm atachelewa kurudi basi mama atakula kidogo ili asisikie njaa lakini baba akija lazima wale wote tena wanakaa mezani pamoja wanapiga na stories mbili tatu na vicheko juu nilikua naona raha sana nikiwaangalia.
Anaporudi mzee kupokelewa mzigo ni lazima ingawa baba alikuaga hapendi kumpokea kama kuna shuuli unafanya anakwambi acha tuu.
Kingine nadhani mama alijua sana majukumu yake pamoja na ubize lakini sikuwahi kuona baba akijiandalia maji ya kuoga au kujipakulia chakula. Nimeishi kama dada mkubwa ndani ya nyumba na najua majukumu ya mwanamke hakuna ukweli kuhusiana na mama kuchoka na kutotoa baadhi ya huduma kwa baba
Anles adhawaiz mkeo ni mvivu au ameshakuchoka au mmechokana. Hivi hata kama nina watoto ndio niwe busy mbaka saa 2 au 3 usiku mme wangu anavorudi nishindwe kumuhudumia kweli!!!
Nnavojua mimi mama uwa anapangilia kazi zake vzur ikifika mida flani unakua tayar kwa ajir ya mmeo.
Siku moja mama angu alinisimuliaga kitu wakati bado wanaishi nyumba za kupanga kuna bwana mmoja alikua amejiandaa kwenda kazini akatoka nje kumfata mkewe aliekua anafagia uwanja na iyo ilikua sa 12 asubuhi akamuuliza mkewe chai mbona amna mezani mkewe akamjibu "nitafanya mangapi" hivi kweli kkabisa mume unamjibu ivo!!!
Sasa mimi mama yangu hakua na gesi kipindi hicho alikua anaamka asubuh sana yaan baba lazima ale kitu kabla hajaondoka ndo wameishi ivo maisha yote na mama hakuwahi kulalamika zaidi sana tulikua tunafurahia kua na baba mpenda familia yake.
Mama nae alikua ana amani sana na furaha kumuhudumia mmewe.
Kubwa na ndogo kuliko daily walikua wakiitana Mme wangu mke wangu yaan hilo nilikua napenda sana mama hata apokee cm anasema "mme wangu niambie".
Sometimes small things means a lot.
Umeolewa? If yes una watoto tayari? If yes wewe ni mama wa nyumbani au uko na mishe mishe?
 
Back
Top Bottom