Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
- Thread starter
- #341
Hahahah kwahio una pray for my downfall sio?....lol!!!Achana na kuingia kwenye mahusiano mkuu,hata kwenye maisha ya kawaida kukeranana kupo hakuepukiki.
Mtu akitulia na kusoma mwandiko wako wako atagundua kuwa unategemea kuja kuoa malaika asiye na mapungufu🤣🤣.
Jiulize hapo ulipo hujawahi kumkera mwenzio!jibu ni kwamba ushawahi kumkera sana tu na hiyo haiepukiki.ila kunatofauti kati ya hali ya kibinadamu na kufanya vitu kwa kukomoana ikiongozwa na makusudi.
Kukerana hakujawahi kuondoka kwenye maisha yetu na haitikuja kuondoka labda kama tutaanza kuishi na malaika wa mbinguni ndani.
😅😅😅natamani kuja kukuona ukishaoa ujue😅😅😅maana watu kama wewe extrovert hudondokeaga pua ni kinyama😆😆😆
Unajua kupishana kupo and it happens sababu sie ni binadamu. Kuna kutofautiana kimtazamo. But how do we handle it? How responsible do you feel ukimkwaza mwenzi wako au ndio atajijua mwenyewe? Kusije kukawa na excuse ya kijinga ambayo unaitumia kufanya mambo ya makusudi au kukwepa majukumu yako. Thats not acceptable..Tatizo pia wanawake wa sikuhizi hamfundishwi how to behave toka mkiwa wadogo.
BTW Im not speaking of an angel kind of patner but a woman that can get down on herself and realize that relationship is all about being happy and choose to stay on that lane like for real. A woman who craves to fulfill her mans desires and feels happy about it. A woman who makes it easy for her man to feel like a man whenever she is around. A woman who knows how to treat a man regardless of any other petty stuffs that she might be having.
Nikikuuliza why majority of Tanzanian women behave so well kabla hamjaolewa then suddenly change after getting married and becoming family women sijui utakuwa na la kuniambia?