Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Unaonekana ni mjeuri wewe...aiseh ngumi mkononi 😅😅We lazma nije nikutolee posa tu🤣🤣🤣 mtoto mzuri!
Au unataka tukune wote nazi jikoni? Mambo ya kishwaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonekana ni mjeuri wewe...aiseh ngumi mkononi 😅😅We lazma nije nikutolee posa tu🤣🤣🤣 mtoto mzuri!
Au unataka tukune wote nazi jikoni? Mambo ya kishwaini
Mwandiko wako unaonesha uko hivyo 90%Hamna bana sipo hivyo🤣🤣🤣
We thubutuuuuu sipendagi heka heka kabisaTry me! These texts are just irony
Achana na kuingia kwenye mahusiano mkuu,hata kwenye maisha ya kawaida kukeranana kupo hakuepukiki.Hahahah kwani we unaingia kwenye mahusiano ili umkere mwenzio? Au essence inakuwa ni nini?
Maana hamna namna sasaSuluhisho lazma ni kipoozeo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] maana amna namna ingine
Halafu ukishamjua mtu wako wala haikupi stressNamba mbili wapo wengi balaaa
Nilivyooa ndo nikathibitisha ukweli wa kuwa mwanamke hakosei ukitaka Vita na mkeo wewe mwambie kakosea sehemu flani...
Wife bwana chochote unachomwambia ameteleza ujue lazima atakirudisha kwako mpk saivi imebidi uwe utani tu
Mke maji ya kunywa ulikumbuka kuchemsha? mtu mwenyewe hata nikichemsha hunywi.[emoji3][emoji3]
Nimerudi zangu home saa 7mchana badala ya saa 9/10 niliyozoea kurudi.Mke chakula tyr?Mke :Bado,mtu mwenyewe wewe hutabiriki unarud sa ngap nilichelewa kidogo kupika.
Mke umesahau kumpigia mama ulisema utaongea nae leo?wewe huyo hujanikumbusha...[emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi:mke punguza sauti ya TV Kuna kazi inachanganya nahitaji umakini kdg,wewe hata ukiwa free hupendi niangalie movies za kikorea...
Mke chumvi leo imezidi kdg wewe huyo unakuja kunipigisha story wakati napika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamka zangu asubuh najiandaa kwenda kwenye mishe nikaanzisha story mke umeamka tyr?mbona mapema?Wewe huyo unazunguka zunguka chumbani mpk usingizi umekata
Juzi kadondosha grass ya maji mi nikageuka tu nikamuangalia nikampa pole nikasikia wewe huyo unaniangalia sanaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maskini hata hajui keshazoea mi saivi akiboronga namwambia sio kosa lako mi Mimi huyo nimesababisha,anachekaaaa balaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mjeuri sana huyu baba msione mwenzenu nakondaUnaonekana ni mjeuri wewe...aiseh ngumi mkononi [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sometimes number 1 na 2.......kutegemeana na mwezi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbuka kila binadamu anakichaa
Kazi unayo pole sana🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ni mjeuri sana huyu baba msione mwenzenu nakonda
😊😊😊😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
😅😅😅As if na sisi hatujui nini cha kufanya aseeHahahah unakuta mke yuko so ambitious!
Kwakweli tumetofautiana sana..mimi pia baba na mama yangu niliwashuhudia maisha yao kwanza mama alikua hali mbaka baba arudi wale wote na kama akipiga cm atachelewa kurudi basi mama atakula kidogo ili asisikie njaa lakini baba akija lazima wale wote tena wanakaa mezani pamoja wanapiga na stories mbili tatu na vicheko juu nilikua naona raha sana nikiwaangalia.We jamaa unaonekana umetokea Pwani. Me nimeishi na Mshua na Maza toka nakua naona maza lazma aamke abandike maji ya kuoga alfajiri...
Ataandaa chai asubuhi mzee akitoka kuoga anavaa nguo zishapigwa pasi siku nyingi kisha anaenda mezani for breakfast. Mie nnje nishafagia na kuosha gari na ilikuwa kama utamaduni wetu. Mshua akirudi akapaki namshushia bag lake la ofisini napeleka chumbani kwake.
Kufua maza anafua nguo sox ananiachia mimi namsaidia. Akiwepo beki 3 anawasha jiko anabandika maji ila ni agizo la bi mkubwa. Kupika cha mshua bi mkubwa anapika mwenyewe. Mshua akiwa kazini madhe anasafisha room kwao. Sometimes ananiomba namsaidia kusafisha akiwa anaumwa au amechoka.
Sasa nikija kuoa mke asiwe kama ambavyo nimekuwa nikiona mazingira ya home au akashindwa ku cope na chores zake lazma tutashindwana tu. Japo mke sio mtumwa ila nimekuzwa kuwa Dominant! Ndio utamaduni wetu ulivyo na hakuna kitu mzee alikuwa anamaindi kama kunikuta jikoni nasaidia kazi 🤣🤣🤣
Umeona sasa, hii ndio tunaita effect ya malezi. If you were properly raised that means utakuwa ulishuhudia upendo wazazi walikuwa wakioneshana and it will always stay in your head. Watu wanafikiri mtu kuwa na upendo ni swala linatokea ghafla tu kama chafya.Kwakweli tumetofautiana sana..mimi pia baba na mama yangu niliwashuhudia maisha yao kwanza mama alikua hali mbaka baba arudi wale wote na kama akipiga cm atachelewa kurudi basi mama atakula kidogo ili asisikie njaa lakini baba akija lazima wale wote tena wanakaa mezani pamoja wanapiga na stories mbili tatu na vicheko juu nilikua naona raha sana nikiwaangalia.
Anaporudi mzee kupokelewa mzigo ni lazima ingawa baba alikuaga hapendi kumpokea kama kuna shuuli unafanya anakwambi acha tuu.
Kingine nadhani mama alijua sana majukumu yake pamoja na ubize lakini sikuwahi kuona baba akijiandalia maji ya kuoga au kujipakulia chakula. Nimeishi kama dada mkubwa ndani ya nyumba na najua majukumu ya mwanamke hakuna ukweli kuhusiana na mama kuchoka na kutotoa baadhi ya huduma kwa baba
Anles adhawaiz mkeo ni mvivu au ameshakuchoka au mmechokana. Hivi hata kama nina watoto ndio niwe busy mbaka saa 2 au 3 usiku mme wangu anavorudi nishindwe kumuhudumia kweli!!!
Nnavojua mimi mama uwa anapangilia kazi zake vzur ikifika mida flani unakua tayar kwa ajir ya mmeo.
Siku moja mama angu alinisimuliaga kitu wakati bado wanaishi nyumba za kupanga kuna bwana mmoja alikua amejiandaa kwenda kazini akatoka nje kumfata mkewe aliekua anafagia uwanja na iyo ilikua sa 12 asubuhi akamuuliza mkewe chai mbona amna mezani mkewe akamjibu "nitafanya mangapi" hivi kweli kkabisa mume unamjibu ivo!!!
Sasa mimi mama yangu hakua na gesi kipindi hicho alikua anaamka asubuh sana yaan baba lazima ale kitu kabla hajaondoka ndo wameishi ivo maisha yote na mama hakuwahi kulalamika zaidi sana tulikua tunafurahia kua na baba mpenda familia yake.
Mama nae alikua ana amani sana na furaha kumuhudumia mmewe.
Kubwa na ndogo kuliko daily walikua wakiitana Mme wangu mke wangu yaan hilo nilikua napenda sana mama hata apokee cm anasema "mme wangu niambie".
Sometimes small things means a lot.
Usifananishe mama zetu mkuu na hizi Ngamia za siku hiziii...!!! Yani kwa kweli ni shidaaa... Wanawake wa siku hizi ukijichanganya ukamsaidia kazi tuu nasema hata kumlisha mtoto jua huo ndo umekuwa wajibu wakoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui ni mapepoooKwakweli tumetofautiana sana..mimi pia baba na mama yangu niliwashuhudia maisha yao kwanza mama alikua hali mbaka baba arudi wale wote na kama akipiga cm atachelewa kurudi basi mama atakula kidogo ili asisikie njaa lakini baba akija lazima wale wote tena wanakaa mezani pamoja wanapiga na stories mbili tatu na vicheko juu nilikua naona raha sana nikiwaangalia.
Anaporudi mzee kupokelewa mzigo ni lazima ingawa baba alikuaga hapendi kumpokea kama kuna shuuli unafanya anakwambi acha tuu.
Kingine nadhani mama alijua sana majukumu yake pamoja na ubize lakini sikuwahi kuona baba akijiandalia maji ya kuoga au kujipakulia chakula. Nimeishi kama dada mkubwa ndani ya nyumba na najua majukumu ya mwanamke hakuna ukweli kuhusiana na mama kuchoka na kutotoa baadhi ya huduma kwa baba
Anles adhawaiz mkeo ni mvivu au ameshakuchoka au mmechokana. Hivi hata kama nina watoto ndio niwe busy mbaka saa 2 au 3 usiku mme wangu anavorudi nishindwe kumuhudumia kweli!!!
Nnavojua mimi mama uwa anapangilia kazi zake vzur ikifika mida flani unakua tayar kwa ajir ya mmeo.
Siku moja mama angu alinisimuliaga kitu wakati bado wanaishi nyumba za kupanga kuna bwana mmoja alikua amejiandaa kwenda kazini akatoka nje kumfata mkewe aliekua anafagia uwanja na iyo ilikua sa 12 asubuhi akamuuliza mkewe chai mbona amna mezani mkewe akamjibu "nitafanya mangapi" hivi kweli kkabisa mume unamjibu ivo!!!
Sasa mimi mama yangu hakua na gesi kipindi hicho alikua anaamka asubuh sana yaan baba lazima ale kitu kabla hajaondoka ndo wameishi ivo maisha yote na mama hakuwahi kulalamika zaidi sana tulikua tunafurahia kua na baba mpenda familia yake.
Mama nae alikua ana amani sana na furaha kumuhudumia mmewe.
Kubwa na ndogo kuliko daily walikua wakiitana Mme wangu mke wangu yaan hilo nilikua napenda sana mama hata apokee cm anasema "mme wangu niambie".
Sometimes small things means a lot.
🙄ngamia😔Usifananishe mama zetu mkuu na hizi Ngamia za siku hiziii...!!! Yani kwa kweli ni shidaaa... Wanawake wa siku hizi ukijichanganya ukamsaidia kazi tuu nasema hata kumlisha mtoto jua huo ndo umekuwa wajibu wakoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sijui ni mapepooo
UnaonekanaJapo wameulizwa wanaume ila ngoja mimi nimuwakilishe wa kwangu.... nipo namba mbili
mkuu nisamehe tu ila wadada wanakera sana hii sera ya Haki sawa ni ya kupingwa kabisaa inawajaza upuuzi kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849]ngamia[emoji17]