Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

[emoji23][emoji23][emoji23] aise hao miili yao huwa inawasha washa kama wanawake wakikurya.
Ukiwashwa washwa dawa ipo! Mie mwanamke mwenye hekima anaejua aseme nini na saangapi ndio tutaenda sawa ila mjuaji na kidomo domo atantia lawama siku moja.
 
We lazma nije nikutolee posa tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtoto mzuri!
Au unataka tukune wote nazi jikoni? Mambo ya kishwaini
Yani siku ikatokea kwenye huu ulimwengu wa nyama nikakutana na wewe halafu nikajua wewe ndio Extrovert ntakimbia eneo hilo nisirudi kabisa na hiyo barabara sipiti tenaaaa....nisije nikakuongelesha ukanikata mtama mtoto wa watu
 
Hata kama akiwa anajishughulisha asiwe yule strong woman anayetaka kupanda vyeo kila mwaka yani mtu aliyeko goal oriented kihivyo. Wanawake wengi wa hivyo wapo very competitive hadi majumbani utaishia kumpiga atakushtaki utafungwa
Huyo mbona mapema tu anakula red card😆 mwanamke lazma awe na kiasi bana. Sasa anataka vyeo kama brigedia sindio mwanzo wa kuleteana ubabe mjengoni.

Halafu mwanamke akiwa so elevated anaona mwanaume ni useless. Thats according to nature ndio maana hatuwapi vipaumbele kwenye nyadhifa nyeti za uongozi.

Impact yake imeshaonekana kwa kujenga vizazi vibovu sana toka mkutano wa Beijing upitishwe na maswala ya haki sawa. Before that wanawake walikuwa waoga kushupaza shingo ila wakapewa go ahead kuwa kushupaza shingo ni haki kama haki zingine. Upuuzi.
 
Hahah halafu we ndio mzuri maana unaogopa makwenzi...nikikohoa tu unarudi kwenye key mambo yanaenda sawa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo nakudekeza tu kama mtoto...hadi utapenda mwenyewe. Ukija kustuka una vitoto vitatu [emoji16][emoji16][emoji16]
Lolol niache[emoji23][emoji23]
 
Yani siku ikatokea kwenye huu ulimwengu wa nyama nikakutana na wewe halafu nikajua wewe ndio Extrovert ntakimbia eneo hilo nisirudi kabisa na hiyo barabara sipiti tenaaaa....nisije nikakuongelesha ukanikata mtama mtoto wa watu
Hahah halafu we ndio mzuri maana unaogopa makwenzi...nikikohoa tu unarudi kwenye key mambo yanaenda sawa! 🤣🤣🤣🤣🤣

Hapo nakudekeza tu kama mtoto...hadi utapenda mwenyewe. Ukija kustuka una vitoto vitatu 😁😁😁
 
Hakuna mwanamke wa kawaida bali kuna wanawake aina mbili:
1. Understanding
2. Non-Understanding

Kundi la kwanza (Understanding) sifa zao:
- Open minded, huwa wako real to themselves and their patners

- Hawapendi makelele/malumbano.

- Husikiliza zaidi kuliko kuongea

- Wepesi wa kujishusha inapobidi ili kusawazisha mambo.

- Wako positive and very supportive in different situations..humbleness!

- Hawana calibre ya ujuaji.

- Mara nyingi hupenda kupata suluhu ya matatizo upesi kabla mambo hayajawa mengi.

Kundi la pili hawa (Non-Understanding):
- Closed minded, hawawezi kuelezea hisia zao ila wanataka wewe ujue anachotaka as if we ni malaika.

- Argument oriented, jambo dogo litakuzwa ilimradi muanze kuparuana tu...ukikasirika basi hapo moyo wake unakuwa baridi kwamba kakukomesha.

- Wajuaji, huwezi mshauri kitu maana yeye anajua zaidi...kumbe kasikia kwa shoga yake flani huko anakomalia anachotaka yeye ndio kiwe. Ukimkatalia ukafanya lako ujue nyumba haitakalika.

- Attention seeking, kususa ni silaha yao kubwa hawa viumbe wa kundi hili. Atakunyima unyumba, ataacha kukufungulia geti, atakuchunia ili tu akukomeshe na raha yake aone mwisho wewe ndio umejipendekeza.

- Ulalamishi mwingi na masimango, KE hawa hupenda kuongea sana, atalalamika kuhusu hiki, mara kile mara mbona hauko kama fulani.

- Hawapendi kuwa responsible katika situations, Usiombe kufanya plan na mwenza wa kundi hili halafu ishu ikabuma. Lazma atatafuta namna ya kuonesha kwamba wewe ndio umesababisha ishu ifeli ilimradi tu akusimange na kukuangushia jumba bovu. Hata kama wazo alitoa yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Je, mkeo anatokea katika kundi gani hapo? Let's share!
La pili mkuu
 
dah hongera sana
Mkuu unaniambia hongera?. Nimejaribu maisha yote,kijeshi,upole,kwake vyote ni bure mkuu. Ni kazi kubwa kuishi na aina hii. Tatizo unakuja kumjua tayari uko uwanjani nae. Anaweza kukuandikia sms 100,wewe umeandika moja tu.Shida sasa nikichukua action ya kumpiga chini
 
H
Mkuu unaniambia hongera?. Nimejaribu maisha yote,kijeshi,upole,kwake vyote ni bure mkuu. Ni kazi kubwa kuishi na aina hii. Tatizo unakuja kumjua tayari uko uwanjani nae. Anaweza kukuandikia sms 100,wewe umeandika moja tu.Shida sasa nikichukua action ya kumpiga chini
Hahaha drama Queen huyo! Jau sana babaake sema kama wife ni ngumu. Fanya kumu ignore tu 🤣🤣🤣 ila kama GF unabwaga tu.
 
H

Hahaha drama Queen huyo! Jau sana babaake sema kama wife ni ngumu. Fanya kumu ignore tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kama GF unabwaga tu.
Wife kabisa mkuu,tuna miaka zaidi ya 10. Kawaida yangu mimi ni mpole,ila kuna ikizidi nakuwa mbogo,japo napoa haraka. Mwisho wa siku nikapata suruhisho,ambalo nusula limtoe roho. Nionee huruma tu mkuu,
 
Wife kabisa mkuu,tuna miaka zaidi ya 10. Kawaida yangu mimi ni mpole,ila kuna ikizidi nakuwa mbogo,japo napoa haraka. Mwisho wa siku nikapata suruhisho,ambalo nusula limtoe roho. Nionee huruma tu mkuu,
Suluhisho lazma ni kipoozeo tu 🤣🤣🤣 maana amna namna ingine
 
Back
Top Bottom