Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Umekariri maisha, huyo mama yako ameshamaliza majukumu ya watoto

Mapenzi ya ujanani kabla ya watoto yanafanana sana na ya uzeeni watoto wakishaondoka nyumbani

Hao kaka zako kutengewa maji sio justification kwamba ni utaratibu wa lazima

Kwa hili la wanawake wenye watoto nawaunga mkono

Huwa nakaa namuangalia anavyoendesha mambo najiona kabisa mimi nisingeweza

Kwahiyo saa zingine sisemi nabeba maji naenda kuoga mwenyewe
 
Namba mbili bhana namba moja hakunaga. Au wewe hujamwelewa Sumalee nini?
 
Wacha weeeeee usiniambieee....😂😂😂
 
Kumbe watu Wana matatizo kwenye familia kiasi hicho☹️☹️Aise
 
Usioe basi ishi mwenyewe hakuna wakuja kukulazimisha mkuu we tafuta hela kula maisha.
 
Wengi wapo namba 2
Namba moja duniani hawafiki hata million
 
Umeolewa? If yes una watoto tayari? If yes wewe ni mama wa nyumbani au uko na mishe mishe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…