Namba mbili wapo wengi balaaa
Nilivyooa ndo nikathibitisha ukweli wa kuwa mwanamke hakosei ukitaka Vita na mkeo wewe mwambie kakosea sehemu flani...
Wife bwana chochote unachomwambia ameteleza ujue lazima atakirudisha kwako mpk saivi imebidi uwe utani tu
Mke maji ya kunywa ulikumbuka kuchemsha? mtu mwenyewe hata nikichemsha hunywi.[emoji3][emoji3]
Nimerudi zangu home saa 7mchana badala ya saa 9/10 niliyozoea kurudi.Mke chakula tyr?Mke :Bado,mtu mwenyewe wewe hutabiriki unarud sa ngap nilichelewa kidogo kupika.
Mke umesahau kumpigia mama ulisema utaongea nae leo?wewe huyo hujanikumbusha...[emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi:mke punguza sauti ya TV Kuna kazi inachanganya nahitaji umakini kdg,wewe hata ukiwa free hupendi niangalie movies za kikorea...
Mke chumvi leo imezidi kdg wewe huyo unakuja kunipigisha story wakati napika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamka zangu asubuh najiandaa kwenda kwenye mishe nikaanzisha story mke umeamka tyr?mbona mapema?Wewe huyo unazunguka zunguka chumbani mpk usingizi umekata
Juzi kadondosha grass ya maji mi nikageuka tu nikamuangalia nikampa pole nikasikia wewe huyo unaniangalia sanaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maskini hata hajui keshazoea mi saivi akiboronga namwambia sio kosa lako mi Mimi huyo nimesababisha,anachekaaaa balaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]