Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Mkeo ni wa kundi gani kati ya haya?

Namba mbili wapo wengi balaaa

Nilivyooa ndo nikathibitisha ukweli wa kuwa mwanamke hakosei ukitaka Vita na mkeo wewe mwambie kakosea sehemu flani...

Wife bwana chochote unachomwambia ameteleza ujue lazima atakirudisha kwako mpk saivi imebidi uwe utani tu

Mke maji ya kunywa ulikumbuka kuchemsha? mtu mwenyewe hata nikichemsha hunywi.[emoji3][emoji3]

Nimerudi zangu home saa 7mchana badala ya saa 9/10 niliyozoea kurudi.Mke chakula tyr?Mke :Bado,mtu mwenyewe wewe hutabiriki unarud sa ngap nilichelewa kidogo kupika.

Mke umesahau kumpigia mama ulisema utaongea nae leo?wewe huyo hujanikumbusha...[emoji38][emoji38][emoji38]

Mimi:mke punguza sauti ya TV Kuna kazi inachanganya nahitaji umakini kdg,wewe hata ukiwa free hupendi niangalie movies za kikorea...

Mke chumvi leo imezidi kdg wewe huyo unakuja kunipigisha story wakati napika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeamka zangu asubuh najiandaa kwenda kwenye mishe nikaanzisha story mke umeamka tyr?mbona mapema?Wewe huyo unazunguka zunguka chumbani mpk usingizi umekata

Juzi kadondosha grass ya maji mi nikageuka tu nikamuangalia nikampa pole nikasikia wewe huyo unaniangalia sanaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maskini hata hajui keshazoea mi saivi akiboronga namwambia sio kosa lako mi Mimi huyo nimesababisha,anachekaaaa balaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

pole
 
wanawake wote kabla ya ndoa wapo kundi la 1 bt after ndoa 3/4 wote hurudi kundi la pili, ni kubahatika pekee ndo kunaweza kukupa mke wa kundi la kwanza, kupata mke wa kundi la 1 ni zaidi yakucheza kamari.
 
Kuna tofauti kubwa Kati ya maisha ya upenzi na maisha ya ndoa, ndio maana Mambo hubadilika automatically
wakat wa upenzi mara nyingi wahusika huficha tabia zao halisi bt after ndoa hudhihiri coz ni ngum kuigiza tabia daima
 
Plus majukumu pia na kuishi pamoja, na kiukweli wanawake wakishapata watoto akili zetu tunahamia kwenye kuwekeza future za watoto zaidi, sasa Mimi nikae tu niwe nakubali ndio ndio ndio, hata Kama unakosea ili mradi upate peace of mind ,huku Mambo hayaendi Basi nitakuwa zuzu

Wanawake sisi wengi au karibia wote ni namba moja kabla hatujaolewa tukiolewa ni namba mbili Ila tu tunazidiana viwango
 
Anafanya utani nadhani

Serious kabisa sema mimi nimegundua huo udhaifu wake kwahivyo nau approach kwa masihara sana

bila hata kujijua hakubali km hili nimekosea lazima atatafuta sababu ya kulirudisha kwangu japokuwa sio katika sura ya hasira ndo hivyo yaani hashindwagi kabisaaa.

Kupitia utani utani wangu ndo kajua walau saivi anaweza kukubali kosa..
 
Yaani anajua kunitetea balaa hata ukimkuta hana mood ukimuuliza anakwambia umekuja serious sana ndo mana na yeye kawa serious[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
Hahahahah you have yourself a patner and a friend for life! Mwanamke ambaye yuko flexible namna hio ni lulu...Hamuwezi kuchokana haraka maana yuko responsive sana.🤣🤣🤣🤣 wish you best of luck mzee hasa kama hatobadilika akipata watoto.

Kuna wanawake wako serious kama wazazi. Yani anakuwa sio patner anakuwa kama mzazi kwako. Hao ndo huua ile excitement maana hamna session za utani na kufurahishana. Mda wote muongelee mipango tu yani hapendi utani kabisa...so boring!
 
Namba mbili wapo wengi balaaa

Nilivyooa ndo nikathibitisha ukweli wa kuwa mwanamke hakosei ukitaka Vita na mkeo wewe mwambie kakosea sehemu flani...

Wife bwana chochote unachomwambia ameteleza ujue lazima atakirudisha kwako mpk saivi imebidi uwe utani tu

Mke maji ya kunywa ulikumbuka kuchemsha? mtu mwenyewe hata nikichemsha hunywi.[emoji3][emoji3]

Nimerudi zangu home saa 7mchana badala ya saa 9/10 niliyozoea kurudi.Mke chakula tyr?Mke :Bado,mtu mwenyewe wewe hutabiriki unarud sa ngap nilichelewa kidogo kupika.

Mke umesahau kumpigia mama ulisema utaongea nae leo?wewe huyo hujanikumbusha...[emoji38][emoji38][emoji38]

Mimi:mke punguza sauti ya TV Kuna kazi inachanganya nahitaji umakini kdg,wewe hata ukiwa free hupendi niangalie movies za kikorea...

Mke chumvi leo imezidi kdg wewe huyo unakuja kunipigisha story wakati napika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nimeamka zangu asubuh najiandaa kwenda kwenye mishe nikaanzisha story mke umeamka tyr?mbona mapema?Wewe huyo unazunguka zunguka chumbani mpk usingizi umekata

Juzi kadondosha grass ya maji mi nikageuka tu nikamuangalia nikampa pole nikasikia wewe huyo unaniangalia sanaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Maskini hata hajui keshazoea mi saivi akiboronga namwambia sio kosa lako mi Mimi huyo nimesababisha,anachekaaaa balaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Ndivyo inavyotakiwa kuishi na utani inanoga
 
Mke wangu yuko kundi la kwanza ila ana mambo flan flan ambayo nnajitahd kuyapuuza sababu siku nikiyafuatilia kiundani nadhani itatakiwa niwe nishapata mbadala wake.
Hamna stress mbaya kama uwe na namba 1 halafu awe mama huruma 🤣🤣🤣!

Mwanamke akiwa promiscous hata akiwa namba 1 ni mateso bila chuki!
 
Yaani anajua kunitetea balaa hata ukimkuta hana mood ukimuuliza anakwambia umekuja serious sana ndo mana na yeye kawa serious[emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]anafaa huyu
 
Plus majukumu pia na kuishi pamoja, na kiukweli wanawake wakishapata watoto akili zetu tunahamia kwenye kuwekeza future za watoto zaidi, sasa Mimi nikae tu niwe nakubali ndio ndio ndio, hata Kama unakosea ili mradi upate peace of mind ,huku Mambo hayaendi Basi nitakuwa zuzu

Wanawake sisi wengi au karibia wote ni namba moja kabla hatujaolewa tukiolewa ni namba mbili Ila tu tunazidiana viwango
umemaliza kila kitu mkuu
 
Back
Top Bottom