Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] naangukia kwa bahati mbaya labda
Anafanya utani nadhaniNamba mbili wapo wengi balaaa
Nilivyooa ndo nikathibitisha ukweli wa kuwa mwanamke hakosei ukitaka Vita na mkeo wewe mwambie kakosea sehemu flani...
Wife bwana chochote unachomwambia ameteleza ujue lazima atakirudisha kwako mpk saivi imebidi uwe utani tu
Mke maji ya kunywa ulikumbuka kuchemsha? mtu mwenyewe hata nikichemsha hunywi.[emoji3][emoji3]
Nimerudi zangu home saa 7mchana badala ya saa 9/10 niliyozoea kurudi.Mke chakula tyr?Mke :Bado,mtu mwenyewe wewe hutabiriki unarud sa ngap nilichelewa kidogo kupika.
Mke umesahau kumpigia mama ulisema utaongea nae leo?wewe huyo hujanikumbusha...[emoji38][emoji38][emoji38]
Mimi:mke punguza sauti ya TV Kuna kazi inachanganya nahitaji umakini kdg,wewe hata ukiwa free hupendi niangalie movies za kikorea...
Mke chumvi leo imezidi kdg wewe huyo unakuja kunipigisha story wakati napika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeamka zangu asubuh najiandaa kwenda kwenye mishe nikaanzisha story mke umeamka tyr?mbona mapema?Wewe huyo unazunguka zunguka chumbani mpk usingizi umekata
Juzi kadondosha grass ya maji mi nikageuka tu nikamuangalia nikampa pole nikasikia wewe huyo unaniangalia sanaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maskini hata hajui keshazoea mi saivi akiboronga namwambia sio kosa lako mi Mimi huyo nimesababisha,anachekaaaa balaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu siwezi uza ramani ya vita kwa adui. Subiri tu kugawiwa kadi ya harusi, uje uhudhurie sherehe. Tena sitachangisha mtu mchango wa harusi...Yupo chuo gani mkuu maana mie pia namtafuta kama huyo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama mke wangu. Nahitaji uwe bi mdogoJapo wameulizwa wanaume ila ngoja mimi nimuwakilishe wa kwangu.... nipo namba mbili
Ahsante
Huyu Aisha analalamika , nikimpigia simu hatuongei muda mrefu au tukichat hatuchati muda mrefu.Anaekupa peace of mind ndio ana akili za maisha always, mtu malalamishi atakupaje akili za maisha wakati anachojua ni kulalamika tu.