Askarimaji
JF-Expert Member
- Jan 28, 2016
- 269
- 651
Natoa CODE kwa wanaume wenzangu mnaotaka mpate heshima kwa wake zetu, ni rahis tu.....hakikisha mkeo unamzidi kila kitu, umzidi Elimu, kipato, uelewa, maarifa, kimo, umaarufu, umaridadi, ujasiri na ushupavu.
Mwanamke anaweza akajikuta tu anakudharau bila yeye mwenyewe kujijua, hii inakuja baada ya yeye kukuzidi kitu mfano elimu kipato au umaarufu. Mwanamke akikuzidi kimo usitegemee heshima kwake ata siku moja na ikiwepo bas ni mwaka mmoja wa kwanza wa ndoa yenu.
Mwanamke akikupita kipato hawezi kuwa na heshima unayoitaka kwako. Soma zaidi yake au chagua mwanamke ambae aliishia elimu ya chini zaidi yako, na ikitokea siku ukaamua kumuendeleza kielimu kwa lengo zuri kabisa malipo yake ni dharau na kilio na pengine kuvunjika ndoa kabisa, isipo vunjika bas utaishi nae maisha ya kutomchunguza ukiogopa presha na matatizo.
Mwanamke akikupita Kipato usitegemee heshima kwake, tena utadharaulika kwa rafiki zake na ndugu zake pia,
Akiwa na pesa zaidi yako pia atataka kuwa na amri pia, hatokuomba ruhusa yoyote pindi atakapokuwa anataka kutoka ila atakupa taarifa tu,
Mwanamke hatakiwi kuishia kutoa taarifa, anatakiwa kuomba ruhusa kwa mumewe, akikataliwa ruhusu bas hamna kwenda kokote, kwa mwanamke mwenye kipato kikubwa zaidi yako ili swala haliwezi kutokea kamwe na ndio dalili kubwa ya dharau.
Hivyo bas ukitaka heshima kwa mwanamke, hakikisha unamzidi kila kitu,
Ikiwa haujanielewa vizuri somo langu nichek hapa 0628 755484
Sent using Jamii Forums mobile app