Mkeo ukimzidi kila kitu ndipo atakuheshimu ipasavyo

Mkeo ukimzidi kila kitu ndipo atakuheshimu ipasavyo

Utashangaa kakuzidi kitu kidogo na ukadharaulika hutoamini
 
Ni kweli mkuu,

Mimi niseme tu kuwa ukijua weakness ya mke wako hakusumbui kabisa.

Yani lazima nitumie weakness zake kushika kila anachokimiliki.

Na sio kwamba nitaishia mimi kuwa maskin, nikiwa na demu tajir alafu mimi nakaa kama maskin nitakua mpumbavu sana,

Cha kwanza unatakiwa kujua why huyo mwanamke kakubar kukaa na wew kama mme, ukijua hapo bas kwisha habar yake.

Niliwai kuwa na girlfriend chuoni, walai mimi ninatamaa ya ngono hatar, lakini nikifanya na demu mala tatu au nne tamaa huwa inapungua kabisa,

Sasa inaamia kwake kama alidata na sex zangu hapo lazima ataniheshimu tuu,

Nilikua na bembelezwa mm kwenda geto balaa na kupewa nitakacho, na demu alikua mkar kabisa.
lakin waun wangu wengi hawawezag kujizuhia kila mala wao ndio wavuta mademu mageton mwao ili wafanye, na anachunwa kwanza kila daily aombapo papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa unazungumzia girlfriend siyo mke
 
Rais Wa Korea aliyeibadilsha kutoka third world kwenda first world alitoa hotuba akiwaasa vijana Wa Korea wanawake wasomi ,haidhuru awe shahada moja , sisi humu karne ya 21 tunawaza kuwaendesha wanawake kidictator. Nina wasiwasi tutaendelea waafrika kuwa duni na kuzama mediterania kwenye maboti tukikimbilia kuwa watumwa Wa wazungu. Hivi unaposhabikia udictator kwenye familia yako unawapa wapioral authority udictator ukitokea katika ngazi ya taifa . Waafrika tumejawa na hulka ya udictaor nyanja zote , no wonder tunatawaliwa na madictator bara lote Mind you mabara yote yanasonga mbele kidemocrasia isipokwa Afrika. Nadhani mnaoshabikia udictator kwa wake zenu, hamnao. Mnachombeza wenye ndoa zao waziendeshe mnavyowaza halafu ndoa zivunjike . Someni maandishi sifa za UPENDO. HIZO COMMENT ZOTE KWA MWENYE UPENDO ZINAKUWA BATILI. Ruhusuni mgongano Wa Mawazo kwenye familia na mke wako halafu mwenye Mawazo bora yashamiri na muyapitishe wote na yatekelezwe .Mbeleni haki na ukweli utashinda, kama sio leo, basi kesho kama alvgosema Shaaban bin Robert Mtanganyika aliyekuwa na mawazo bora kabisa. Napinga Male Chauvinism, ambayo naona mnashabikia wengi bila kujua mnaandaa kizazi cha watumwa Wa wazungu bila kujua. Nishambulieni mkipenda but ,I have been free to express my conscience. Na ninaamini kweli itatuweka huru.

Sent using Jamii Forums mobile app

Halafu huyo huyo anatarajia amlelee wanae katika njia iliyonyooka
 
yeah kila mtu na kipaumbele chake, mie wala sina shida ya hao watoto ....mie kipaumbele changu ni kugegeda warembo wala sio kukaa nalea mitoto dunia yenyewe hii ilishapinda. stress za kusaka hela alafu niongeze stress za kulea tena...no ways. just give me papuchi basi watoto sihitaji mie.
Wazazi wako wangewaza kama wewe usingekuwa na uwezo wakucomment humu. Umekata tamaa ya maisha . kukata tamaa ni dhambi kubwa . Dunia haijajaa , hata tukubaliane kuwa imejaa inatakiwa kila mwanamke azae watoto 2.2 ilk kuwepo bila idadi ya watu kupungua ili taifa liendelee kuwepo. Kila MTU akiamua kuwa irresponsible kwa kulea familia basi miaka michache taifa au dunia linafutika, he hiyo ndio busara itawale? Hapana lazima tuwe positive na maisha yetu tuliyopewa bure. Soma kwa nini tuliumbwa na MUNGU,tafakari. Ukitafakari huwezi kuamua kuwa playboy, kumbuka unajivunia ujana, uzee ukikufikia hautakuwa na misaada wowote kwa sababu hujawekeza kwenye uzee .Tafadhali badilika.

na uzuri mungu aliumba watu na mitazamo tofauti...so that means kila mtu ataganga ya kwake. kwangu mie kids are not important kabisaaa....wacha niwagegede warembo tuu. uzee ukija tutapambana nao then as for now ni mwendo wa kugegeda tuu.

na jambo moja ukumbuke ni kwamba mungu alisema mkazaliane wakati huo dunia ilikuwa paradiso which at the moment is not.
 
Natoa CODE kwa wanaume wenzangu mnaotaka mpate heshima kwa wake zetu, ni rahis tu.....hakikisha mkeo unamzidi kila kitu, umzidi Elimu, kipato, uelewa, maarifa, kimo, umaarufu, umaridadi, ujasiri na ushupavu.

Mwanamke anaweza akajikuta tu anakudharau bila yeye mwenyewe kujijua, hii inakuja baada ya yeye kukuzidi kitu mfano elimu kipato au umaarufu. Mwanamke akikuzidi kimo usitegemee heshima kwake ata siku moja na ikiwepo bas ni mwaka mmoja wa kwanza wa ndoa yenu.

Mwanamke akikupita kipato hawezi kuwa na heshima unayoitaka kwako. Soma zaidi yake au chagua mwanamke ambae aliishia elimu ya chini zaidi yako, na ikitokea siku ukaamua kumuendeleza kielimu kwa lengo zuri kabisa malipo yake ni dharau na kilio na pengine kuvunjika ndoa kabisa, isipo vunjika bas utaishi nae maisha ya kutomchunguza ukiogopa presha na matatizo.

Mwanamke akikupita Kipato usitegemee heshima kwake, tena utadharaulika kwa rafiki zake na ndugu zake pia,
Akiwa na pesa zaidi yako pia atataka kuwa na amri pia, hatokuomba ruhusa yoyote pindi atakapokuwa anataka kutoka ila atakupa taarifa tu,
Mwanamke hatakiwi kuishia kutoa taarifa, anatakiwa kuomba ruhusa kwa mumewe, akikataliwa ruhusu bas hamna kwenda kokote, kwa mwanamke mwenye kipato kikubwa zaidi yako ili swala haliwezi kutokea kamwe na ndio dalili kubwa ya dharau.

Hivyo bas ukitaka heshima kwa mwanamke, hakikisha unamzidi kila kitu,

Ikiwa haujanielewa vizuri somo langu nichek hapa 0628 755484

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo sahii,hayo do yanayonikuta sasa

Nakazia
 
Back
Top Bottom