Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakuelewa lakini?!“Once made equal to man, woman becomes his superior.”
― Socrates
Ndio hivyo tena!Watakuelewa lakini?!
Sasa mwanamke anakuzidi vipi umaarufu, utajiri?Nimekubaliana nawe lkn kwa 10% ukichunguza ktk jamii zituzungukazo karibia 90% ya Wanaume wanaozidiwa na Wake zao umaarufu, utajiri, elimu, urefu huwa wanaugulia sn maumivu panapokuja ktk swala la utawala ndani ya nyumba kimaamuzi.
Na hata km utawaona wana maelewano mazuri tu baina yao lkn wakiwa chumbani au hata pengine ambapo ni wao wawili pekee, basi Mwanaume hukosa kabisa kauli mbiu ya kuwa kichwa cha familia kwa manyanyaso tele ilimradi tu siku zisonge.
Hili ni janga sana la dunia ya leo kwa kizazi chetu kinachopenda mteremko wa kulelewa na Wake zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuuMkuu ukiwa na akili ya maisha utakua hivi kama mimi ngoja nikuelezee baadhi ya weakness za wanaume wanaozidiwa na wanawake zao maendeleo.
Tamaa ya vitu vya bei...... Hutakiw kabisa mwanaume lazima kulizika na kile ambacho unaweza ku afford.
Tamaa ya kufanya mapenz mala kwa mala....... Mwanaume anae jielewa hawez kulilia K kwa mke wake inatakiwa yeye ndo amiss kuliwa na wew, mm naweza kukaa na mwanamke hata mwezi kama hataki nimle mm namnyamzia tu but I'm very Romantic.
Wivu, kupenda kuongozana nae....... Mimi hata niwemasikini vip nina company ya wahuni wanao jielewa hatar siwez kukosa cha kufanya hadi niwaze kwenda mahar na mke wangu au kuona wivu kaongozana na furan.,, but I'm very romantic akitaka, najua kujitupia na kwenda na fashion.
Sihitaji watoto wengi sanaaa....
Hata akilinga mm nakausha siku nikichoka nitaenda kutafuta wa kuzaa nae, na nitaondoka free kabisa coz sijamzalisha.
Lakin akizaa mtoto na mimi, damu yangu nahakika lazima itakua kichwa kama mimi, hata kama kila kitu anapewa na mama yake, sumu nitakayo mjaza mwanangu au mafundisho nitakayo mpa mwanangu hato kaa anisahau maisha yake yote na lazima atakua akisimulia na kusema My father is a hero.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaZamani wanaume wafupi walikuwa na sifa adimu sana wanapenda kufa MTU mpaka wadada wakaamua kuchukua maamuzi magumu, wakaolewa na maisha yakasonga.
Sifa za wanaume wafupi wa kileo;
mfupi, kabonge
gubu kama lote,
bahili mpaka ananuka ubahili
hajui kubembeleza, mwasaliano ovyoooooo
Ananajitutumua nae aonekane yupo
Ila elimu unayo ya kutosha
Anajitapa kufanya kazi ya maana Mara usalama/ ofisi ya rais
Anajinadi kusafiri na ndege kila Siku.
Yahaya msingi msingi
Kujitapa ana vitu expensive kama simu.
Misifa kibao kumbe hana lolote.
Note: nikwa mujibu wa mdada mmoja anaemiliki mwanaume mfupi.
Bora upambane na limwanaume lirefu likutese ila usikose vyote loh.
🙂😀Ndio hivyo tena!
Wahenga walikuwa hawakurupuki kama wanavyokurupuka kina ******
Wazazi wetu wasingefanikiwa kufikia hatua za uzeeni ktk ndoa km kweli hakuhitajiki akili na maarifa namna ya kuishi na wake.Kama hiyo ingekuwa formula basi talaka zingekuwa chache sana...
Kifupi hakuna formula, swala akupende na kukuheshimu kwa matakwa yake, hapo umeshinda..Ila siku akikuchoka hata ufanye au uwe kivipi kwake ni kazi bure..
Natoa CODE kwa wanaume wenzangu mnaotaka mpate heshima kwa wake zetu, ni rahis tu.....hakikisha mkeo unamzidi kila kitu, umzidi Elimu, kipato, uelewa, maarifa, kimo, umaarufu, umaridadi, ujasiri na ushupavu.
Mwanamke anaweza akajikuta tu anakudharau bila yeye mwenyewe kujijua, hii inakuja baada ya yeye kukuzidi kitu mfano elimu kipato au umaarufu. Mwanamke akikuzidi kimo usitegemee heshima kwake ata siku moja na ikiwepo bas ni mwaka mmoja wa kwanza wa ndoa yenu.
Mwanamke akikupita kipato hawezi kuwa na heshima unayoitaka kwako. Soma zaidi yake au chagua mwanamke ambae aliishia elimu ya chini zaidi yako, na ikitokea siku ukaamua kumuendeleza kielimu kwa lengo zuri kabisa malipo yake ni dharau na kilio na pengine kuvunjika ndoa kabisa, isipo vunjika bas utaishi nae maisha ya kutomchunguza ukiogopa presha na matatizo.
Mwanamke akikupita Kipato usitegemee heshima kwake, tena utadharaulika kwa rafiki zake na ndugu zake pia,
Akiwa na pesa zaidi yako pia atataka kuwa na amri pia, hatokuomba ruhusa yoyote pindi atakapokuwa anataka kutoka ila atakupa taarifa tu,
Mwanamke hatakiwi kuishia kutoa taarifa, anatakiwa kuomba ruhusa kwa mumewe, akikataliwa ruhusu bas hamna kwenda kokote, kwa mwanamke mwenye kipato kikubwa zaidi yako ili swala haliwezi kutokea kamwe na ndio dalili kubwa ya dharau.
Hivyo bas ukitaka heshima kwa mwanamke, hakikisha unamzidi kila kitu,
Ikiwa haujanielewa vizuri somo langu nichek hapa 0628 755484
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mwanamke anakuzidi vipi umaarufu, utajiri?
Kwani mimi nimemuoa Kim Kardashian? Mume wake si ni maarufu na pesa anazo?Inamaana yule Kim Kardashian si maarufu kukuzidi ww au kuwazidi akina Professor J?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataolewa na vitabu au librarySasa maprofesa , madokta, PhD holder, wenye masta zao wataolewa na nani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha hatariOkay, umzidi hadi uzuri na chura[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa watu hata uwazidi nn bado watakusumbua tu waulize wale walio oa darasa la piliNatoa CODE kwa wanaume wenzangu mnaotaka mpate heshima kwa wake zetu, ni rahis tu.....hakikisha mkeo unamzidi kila kitu, umzidi Elimu, kipato, uelewa, maarifa, kimo, umaarufu, umaridadi, ujasiri na ushupavu.