Mkeo ukimzidi kila kitu ndipo atakuheshimu ipasavyo

Askarimaji

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2016
Posts
269
Reaction score
651
Natoa CODE kwa wanaume wenzangu mnaotaka mpate heshima kwa wake zetu, ni rahis tu.....hakikisha mkeo unamzidi kila kitu, umzidi Elimu, kipato, uelewa, maarifa, kimo, umaarufu, umaridadi, ujasiri na ushupavu.

Mwanamke anaweza akajikuta tu anakudharau bila yeye mwenyewe kujijua, hii inakuja baada ya yeye kukuzidi kitu mfano elimu kipato au umaarufu. Mwanamke akikuzidi kimo usitegemee heshima kwake ata siku moja na ikiwepo bas ni mwaka mmoja wa kwanza wa ndoa yenu.

Mwanamke akikupita kipato hawezi kuwa na heshima unayoitaka kwako. Soma zaidi yake au chagua mwanamke ambae aliishia elimu ya chini zaidi yako, na ikitokea siku ukaamua kumuendeleza kielimu kwa lengo zuri kabisa malipo yake ni dharau na kilio na pengine kuvunjika ndoa kabisa, isipo vunjika bas utaishi nae maisha ya kutomchunguza ukiogopa presha na matatizo.

Mwanamke akikupita Kipato usitegemee heshima kwake, tena utadharaulika kwa rafiki zake na ndugu zake pia,
Akiwa na pesa zaidi yako pia atataka kuwa na amri pia, hatokuomba ruhusa yoyote pindi atakapokuwa anataka kutoka ila atakupa taarifa tu,
Mwanamke hatakiwi kuishia kutoa taarifa, anatakiwa kuomba ruhusa kwa mumewe, akikataliwa ruhusu bas hamna kwenda kokote, kwa mwanamke mwenye kipato kikubwa zaidi yako ili swala haliwezi kutokea kamwe na ndio dalili kubwa ya dharau.

Hivyo bas ukitaka heshima kwa mwanamke, hakikisha unamzidi kila kitu,

Ikiwa haujanielewa vizuri somo langu nichek hapa 0628 755484

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha msingi kumzidi akili, na sio akili ya darasani

Mwanaume unatakiwa kuwa na uelewa mkubwa kuliko mke wako.

Big brain matter more.

Hayo ya hela, urefu, umaarufu ni yake mm hata awe nayo kwangu lazima anyenyekew tu, kwani Muhuni kupenda kupitiliza without special thing hiyo kitu sinaga hata awe mzur kama malaika, au Rihana anafunzwa maisha kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekubaliana nawe lkn kwa 10% ukichunguza ktk jamii zituzungukazo karibia 90% ya Wanaume wanaozidiwa na Wake zao umaarufu, utajiri, elimu, urefu huwa wanaugulia sn maumivu panapokuja ktk swala la utawala ndani ya nyumba kimaamuzi.

Na hata km utawaona wana maelewano mazuri tu baina yao lkn wakiwa chumbani au hata pengine ambapo ni wao wawili pekee, basi Mwanaume hukosa kabisa kauli mbiu ya kuwa kichwa cha familia kwa manyanyaso tele ilimradi tu siku zisonge.

Hili ni janga sana la dunia ya leo kwa kizazi chetu kinachopenda mteremko wa kulelewa na Wake zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ukiwa na akili ya maisha utakua hivi kama mimi ngoja nikuelezee baadhi ya weakness za wanaume wanaozidiwa na wanawake zao maendeleo.


Tamaa ya vitu vya bei...... Hutakiw kabisa mwanaume lazima kulizika na kile ambacho unaweza ku afford.

Tamaa ya kufanya mapenz mala kwa mala....... Mwanaume anae jielewa hawez kulilia K kwa mke wake inatakiwa yeye ndo amiss kuliwa na wew, mm naweza kukaa na mwanamke hata mwezi kama hataki nimle mm namnyamzia tu but I'm very Romantic.

Wivu, kupenda kuongozana nae....... Mimi hata niwemasikini vip nina company ya wahuni wanao jielewa hatar siwez kukosa cha kufanya hadi niwaze kwenda mahar na mke wangu au kuona wivu kaongozana na furan.,, but I'm very romantic akitaka, najua kujitupia na kwenda na fashion.

Sihitaji watoto wengi sanaaa....
Hata akilinga mm nakausha siku nikichoka nitaenda kutafuta wa kuzaa nae, na nitaondoka free kabisa coz sijamzalisha.

Lakin akizaa mtoto na mimi, damu yangu nahakika lazima itakua kichwa kama mimi, hata kama kila kitu anapewa na mama yake, sumu nitakayo mjaza mwanangu au mafundisho nitakayo mpa mwanangu hato kaa anisahau maisha yake yote na lazima atakua akisimulia na kusema My father is a hero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetembea vyema sn kuitetea hoja yako Chifu.

Kauli ya "TUISHI NA WAKE ZETU KWA AKILI" ni hii mojawapo ya kutoruhusu kabisa Mwanamke akuelewe uko vp kichwani(kiakili).

Wengi wetu huwa tunafeli kutambua kuwa kadri tunavyoishi na hawa Mama zetu ktk ndoa, wao huwaza kila siku namna ya kutusoma akili zetu na kutujua udhaifu wetu uko wapi ili wapate upenyo wa kutupanda kichwani(DHARAU/KIBURI/JEURI).

Nimekuelewa vzr sn Chifu, lkn Wanawake hupenda tuwe Watu wa kuwachemsha akili kila siku, tusiruhusu kabisa kutuzoea ambapo hata akikaa na Wanawake wenzake kujadiliana ujinga husema kuwa "Mume wangu hana lolote, sababu nimeshamuweka kiganjani"

Namaanisha upole na ukali vinatakiwa wakati wowote ambapo hata Wanamke hawawezi kutegemea ndipo tutakapoheshimiwa nao, japo pia maarifa ya kuongeza kipato twapaswa tuwazidi nacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu,

Mimi niseme tu kuwa ukijua weakness ya mke wako hakusumbui kabisa.

Yani lazima nitumie weakness zake kushika kila anachokimiliki.

Na sio kwamba nitaishia mimi kuwa maskin, nikiwa na demu tajir alafu mimi nakaa kama maskin nitakua mpumbavu sana,

Cha kwanza unatakiwa kujua why huyo mwanamke kakubar kukaa na wew kama mme, ukijua hapo bas kwisha habar yake.

Niliwai kuwa na girlfriend chuoni, walai mimi ninatamaa ya ngono hatar, lakini nikifanya na demu mala tatu au nne tamaa huwa inapungua kabisa,

Sasa inaamia kwake kama alidata na sex zangu hapo lazima ataniheshimu tuu,

Nilikua na bembelezwa mm kwenda geto balaa na kupewa nitakacho, na demu alikua mkar kabisa.
lakin waun wangu wengi hawawezag kujizuhia kila mala wao ndio wavuta mademu mageton mwao ili wafanye, na anachunwa kwanza kila daily aombapo papuchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema mengi ila umehitimisha kwa kuonesha wewe ni marioo unapenda kulelewa na kutunzwa
Huo ukali na blah nyingine unatumia kama defence mechanism
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa Chifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaaa

Mimi pia ni mshika dini sana, nimeokoka nampenda Yesu, pia mimi ni mzaliwa wa kwanza kwa wazazi wangu. Tunachangamoto nyingi sana wazaliwa wa kwanza,

Kwan Mungu hututumia kama malango ya kuleta baraka ndan ya familia, mimi ni kiongozi wa familia yangu pia ni kiongoz ajae kwa familia niliyo toka.

Niseme tu, shetani hutujarbu sanaaa na kutaka kutukwamisha sanaa kimaendeleo, wengi wetu maisha huwa magumu sana mwanzoni pia ni wepes sana kuzisahau familia tulizo toka.

But mimi ni wapekee sana, best thing Mungu kanipa ni akili tu.
Hayo mambo ya hela naamini yanapatikana tu kwa njia yoyote hata ya kupewa, si kanipenda yeye tatizo nn???

Pia mke wangu atakua ni mke mwenye bahat sana niseme hivo.
Umesema mengi ila umehitimisha kwa kuonesha wewe ni marioo unapenda kulelewa na kutunzwa
Huo ukali na blah nyingine unatumia kama defence mechanism

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha jamaa unajikubali sana na ndio kitu kinatakiwa hicho kwenye maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
“Once made equal to man, woman becomes his superior.”
― Socrates
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…