Mkeo ukimzidi kila kitu ndipo atakuheshimu ipasavyo

Kama hiyo ingekuwa formula basi talaka zingekuwa chache sana...
Kifupi hakuna formula, swala akupende na kukuheshimu kwa matakwa yake, hapo umeshinda..Ila siku akikuchoka hata ufanye au uwe kivipi kwake ni kazi bure..
 
Sasa mwanamke anakuzidi vipi umaarufu, utajiri?
 
Hongera mkuu
 
Vijana fanyeni kazi tafuteni pesa.
Mke,mke kuna wengine humu hata hao wanaowazidi hawatawaoa.

Hakuna mtu anakosa mke duniani akitaka. Sampuli zote zipo. Unachagua kutokana na matakwa yako na unakubaliwa kutokana na vigezo vyako na haja za mpendwa. Hata walevi wa gongo ambao kutwa wanashinda vilabuni wana wake.
Dunia yako,chaguo lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani wanaume wafupi walikuwa na sifa adimu sana wanapenda kufa MTU mpaka wadada wakaamua kuchukua maamuzi magumu, wakaolewa na maisha yakasonga.
Sifa za wanaume wafupi wa kileo;
mfupi, kabonge
gubu kama lote,
bahili mpaka ananuka ubahili
hajui kubembeleza, mwasaliano ovyoooooo
Ananajitutumua nae aonekane yupo
Ila elimu unayo ya kutosha
Anajitapa kufanya kazi ya maana Mara usalama/ ofisi ya rais
Anajinadi kusafiri na ndege kila Siku.
Yahaya msingi msingi
Kujitapa ana vitu expensive kama simu.
Misifa kibao kumbe hana lolote.

Note: nikwa mujibu wa mdada mmoja anaemiliki mwanaume mfupi.
Bora upambane na limwanaume lirefu likutese ila usikose vyote loh.
 
hahahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekusoma mkuu... Ila me hilo swala LA elimu hata siliwazii.... Ye hata akiwa na madegree 10 me nina kadiploma changu ila nimemzidi mkwanja fresh sanaaaa

Heshima ni misimbazi tu na various assets unazomiliki..

Quote tayariiiiiiiii
 
Kama hiyo ingekuwa formula basi talaka zingekuwa chache sana...
Kifupi hakuna formula, swala akupende na kukuheshimu kwa matakwa yake, hapo umeshinda..Ila siku akikuchoka hata ufanye au uwe kivipi kwake ni kazi bure..
Wazazi wetu wasingefanikiwa kufikia hatua za uzeeni ktk ndoa km kweli hakuhitajiki akili na maarifa namna ya kuishi na wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

umeeleweka mkuu, mie ndio maana nasema tunakosea sana tena sana kuwapa vyeo wanawake, mwanamke anatakiwa kuwa msaidizi tuu never a leader sasa vitengo tunawapa wanawake waongoze hiyo kwangu mie hapana kabisa, ata wamerekani waliona bora rais kichaa lakini sio mwanamke aongoze nchi. mie naenda kuoa standard seven wangu cha msingi mauno yawepo .
 
Kwa wanawake wa siku hizi ni kweli kabisa...

Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...


Cc: mahondaw
 
Hawa watu hata uwazidi nn bado watakusumbua tu waulize wale walio oa darasa la pili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…