Mkeo ukimzidi kila kitu ndipo atakuheshimu ipasavyo

Mkuu umenena vyema,Mimi mke wangu ana digrii,lakini namdhibiti sana kwa kila kitu,na heshima kwangu ni kubwa,pointi kubwa uliyosema mwanamke unapaswa umzidi akili/uelewa basi, hata kama ana masters mianane na magari mia lazima atakupigia magoti,sio mwanamume umekaa ka zombie harafu unataka heshima kwa mke wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa hahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukioa mauno utazaa wakata mauno but with zero brain . bora mwanamke jeuri atakaenizalia big brain children. Sipendi mke aje anizalie watumwa Wa jamii ninayoishi. Kila mtu na kipaumbele chake .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukioa mauno utazaa wakata mauno but with zero brain . bora mwanamke jeuri atakaenizalia big brain children. Sipendi make aje anizalie watumwa Wa jamii ninayoishi. Kila mtu na kipaumbele chake .

Sent using Jamii Forums mobile app

yeah kila mtu na kipaumbele chake, mie wala sina shida ya hao watoto ....mie kipaumbele changu ni kugegeda warembo wala sio kukaa nalea mitoto dunia yenyewe hii ilishapinda. stress za kusaka hela alafu niongeze stress za kulea tena...no ways. just give me papuchi basi watoto sihitaji mie.
 
Rais Wa Korea aliyeibadilsha kutoka third world kwenda first world alitoa hotuba akiwaasa vijana Wa Korea wanawake wasomi ,haidhuru awe shahada moja , sisi humu karne ya 21 tunawaza kuwaendesha wanawake kidictator. Nina wasiwasi tutaendelea waafrika kuwa duni na kuzama mediterania kwenye maboti tukikimbilia kuwa watumwa Wa wazungu. Hivi unaposhabikia udictator kwenye familia yako unawapa wapioral authority udictator ukitokea katika ngazi ya taifa . Waafrika tumejawa na hulka ya udictaor nyanja zote , no wonder tunatawaliwa na madictator bara lote Mind you mabara yote yanasonga mbele kidemocrasia isipokwa Afrika. Nadhani mnaoshabikia udictator kwa wake zenu, hamnao. Mnachombeza wenye ndoa zao waziendeshe mnavyowaza halafu ndoa zivunjike . Someni maandishi sifa za UPENDO. HIZO COMMENT ZOTE KWA MWENYE UPENDO ZINAKUWA BATILI. Ruhusuni mgongano Wa Mawazo kwenye familia na mke wako halafu mwenye Mawazo bora yashamiri na muyapitishe wote na yatekelezwe .Mbeleni haki na ukweli utashinda, kama sio leo, basi kesho kama alivyosema Shaaban bin Robert Mtanganyika aliyekuwa na mawazo bora kabisa. Napinga Male Chauvinism, ambayo naona mnashabikia wengi bila kujua mnaandaa kizazi cha watumwa Wa wazungu bila kujua. Nishambulieni mkipenda but ,I have been free to express my conscience. Na ninaamini kweli itatuweka huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…