Mkeo ukimzidi kila kitu ndipo atakuheshimu ipasavyo

Utashangaa kakuzidi kitu kidogo na ukadharaulika hutoamini
 

Hapa unazungumzia girlfriend siyo mke
 

Halafu huyo huyo anatarajia amlelee wanae katika njia iliyonyooka
 
Wazazi wako wangewaza kama wewe usingekuwa na uwezo wakucomment humu. Umekata tamaa ya maisha . kukata tamaa ni dhambi kubwa . Dunia haijajaa , hata tukubaliane kuwa imejaa inatakiwa kila mwanamke azae watoto 2.2 ilk kuwepo bila idadi ya watu kupungua ili taifa liendelee kuwepo. Kila MTU akiamua kuwa irresponsible kwa kulea familia basi miaka michache taifa au dunia linafutika, he hiyo ndio busara itawale? Hapana lazima tuwe positive na maisha yetu tuliyopewa bure. Soma kwa nini tuliumbwa na MUNGU,tafakari. Ukitafakari huwezi kuamua kuwa playboy, kumbuka unajivunia ujana, uzee ukikufikia hautakuwa na misaada wowote kwa sababu hujawekeza kwenye uzee .Tafadhali badilika.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

na uzuri mungu aliumba watu na mitazamo tofauti...so that means kila mtu ataganga ya kwake. kwangu mie kids are not important kabisaaa....wacha niwagegede warembo tuu. uzee ukija tutapambana nao then as for now ni mwendo wa kugegeda tuu.

na jambo moja ukumbuke ni kwamba mungu alisema mkazaliane wakati huo dunia ilikuwa paradiso which at the moment is not.
 
Mkuu upo sahii,hayo do yanayonikuta sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…