Watanzania wanajua Kuwa watoa lawama fikra nje na hapo hazipo kabisa!Huenda kunakitisho,wameamua kutokuzua taharuki.
TUWE WASIKIVU!
giza lipo kila siku mbn, labda useme wanatumia giza la dec 31Wapo sawa Sana maana Kuna wengine wanatumia Giza kwenye mikusanyiko kufanya Uhalifu