Mkesha Mwaka Mpya: Polisi yasema kukaa ufukweni mwisho saa 12 jioni

Mkesha Mwaka Mpya: Polisi yasema kukaa ufukweni mwisho saa 12 jioni

Afadhali hawakataja mabaruti... nko natafuta spoku tu wakuu

na hawajataja kumbi za starehe!..:tukutane boardroom
 
Kama mikutano ya cccm wangeruhusu hata kukesha huko fukweni
 
Kwenye kuchoma matairi naunga mkono. Unatoka zako huko huna hili wala lile unakuta matairi yamechomwa barabarani unashindwa kupita
Kwani ni lini kuchoma matairi kwenye shamramshara za mwaka mpya iliwahi kuruhusiwa hapa Tanzania?
Miaka yote imekuwa ikizuiliwa na miaka yote wapenda kuvunja sheria wamekuwa wakichoma.
 
Wakuu nje ya mada.
kuna mpwa hapa kakata moto kwa pombe,sahivi saa 9:08.
Mwaka mpya unaanza saa sita,uyu mpwa kakata moto sahivi saa tatu,yupo chini ya meza hapa,waungwana wanapambana kumpeleka kwao.
Vijana kunyweni pombe kwa kiasi.pombe isikutawale.

Ndimi wenu Mchungaji wa kondoo majike Tanzania NAWATAFUNA
 
Kwenye kuchoma matairi naunga mkono. Unatoka zako huko huna hili wala lile unakuta matairi yamechomwa barabarani unashindwa kupita
Unapita pembeni shida iko wapi.
Au unageuza unabadili njia kwa nyuma kidogo. Acha watu wafurahi.
 
Wakuu nje ya mada.
kuna mpwa hapa kakata moto kwa pombe,sahivi saa 9:08.
Mwaka mpya unaanza saa sita,uyu mpwa kakata moto sahivi saa tatu,yupo chini ya meza hapa,waungwana wanapambana kumpeleka kwao.
Vijana kunyweni pombe kwa kiasi.pombe isikutawale.

Ndimi wenu Mchungaji wa kondoo majike Tanzania NAWATAFUNA
Hao ndio wanaotuharibia.
 
Unapita pembeni shida iko wapi.
Au unageuza unabadili njia kwa nyuma kidogo. Acha watu wafurahi.
Kupita pembeni inategemea na barabara yenyewe. Na Kama hakuna barabara nyingine zaidi ya hiyo inakuaje?
 
Sio kila kitu ni chakuambiwa kukiwa na tetesi za ugaidi unafikiri ukiwaambia watu wataenda kwenye hizo fukwe..? wao wanajua na ndio wanataarifa zaidi Sasa mkuu unataka kuleta ubishi usio na tija tu.
Sawa
 
Watu wakikesha beach au bar si wanaiongezea serikali mapato?
Bar as long as ipo beach na ni night club ruksa kukesha kuna ulinzi ufukweni mwisho saa 12 kabla ya huu utaratibu watu walikuwa wanauana.
 
Hao ndio wanaotuharibia.
Kweli mkuu,wanaharibu taswila nzima ya wanywaji.
Mungu akubariki mwaka ujao wa 2021,akupe afya njema,nguvu na mafanikio"emeen"
Tusherehekee mwaka mpya kistaarabu,atutaki vurugu na uvunjifu wa amani.
Mungu ibariki Tanzania,Africa na Dunia nzima.uwaangamize magaidi,majambazi na watia hofu wote wachafua amani Duniani.
 
Nchi ya kipolisi.

Hata ukitaka kujamba inabidi utoe taarifa kwa IGP!
 
Watanzania wanajua Kuwa watoa lawama fikra nje na hapo hazipo kabisa!
Mtu anataka akeshe anaogelea hajui kama hayo ni makazi ya majini lakini pia kabla ya huu utaratibu ikiingia tu giza huko ufukweni watu walikuwa wanauana jeshi la polisi wako sahihi kama kuna club hapo beach mnazama ndani.
 
Back
Top Bottom