Serikali ya kidikteta hua haijiamini
Inaelekeza watu hata jinsi ya kufanya sherehe and enjoy themselves...
Hii haijawahi tokea tangu uhuru serikali kupangia watu how to enjoy themselves kwenye sikukuu
Hii hofu yote inatoka wapi?
Hapa ni sherehe ya mwaka mpya,ni effectively saa kumi na mbili mkalale
Kitafuata kupangiwa muda wa kulala Tanzania nzima,kua say saa 3 kamili watu wote tuwe vitandani
Mtapangiwa muda wa kufunga na kufungua hotels
Mtapangiwa muda wa kwenda kanisani,nguo za kuvaa,gari gani uendeshe,mtoto wako asome shule gani na asome nini,etc
Udikteta ni sumu,ni ugonjwa ni kansa inakula seli moja baada ya ingine mpaka mwili mzima ufe..
Dawa ni kukata kiungo chenye kansa kisiambukize sehemu zingine
Mitano TENAAAAAA,Tanzania kama URAYAAAAAAAH