Mkesha Mwaka Mpya: Polisi yasema kukaa ufukweni mwisho saa 12 jioni

Kwa sababu taarifa haitoi ufafanuzi wa kutosha,hii ni nchi sio familia inayoendeshwa kwa mfumo dume.
Watanzania wanajua Kuwa watoa lawama fikra nje na hapo hazipo kabisa!
 
Kwa sababu taarifa haitoi ufafanuzi wa kutosha,hii ni nchi sio familia inayoendeshwa kwa mfumo dume.
Huwezi kupewa taarifa za kiintelijensia kihivyo ndugu.. sisi Kama wananchi yatupasa pia kutii maagizo ya kiusalama.. huwezi ambiwa Kuna nini.
 
Ndiyo umesema nini hapa Mangi?

Marekani angetoa tahadhari kwa raia wake ingekuwa sawa

Tanzania imefanya hivyo imekuwa na definition kibaoo

....
 
Huwezi kupewa taarifa za kiintelijensia kihivyo ndugu.. sisi Kama wananchi yatupasa pia kutii maagizo ya kiusalama.. huwezi ambiwa Kuna nini.
Ni lazm kuambiwa kuna nn, kesho serikali ije awaambie mtaani kwenu wote msitoke nje kwa masaa 12 si lazima uulize kwnn mkae ndani.
 
Ni lazm kuambiwa kuna nn, kesho serikali ije awaambie mtaani kwenu wote msitoke nje kwa masaa 12 si lazima uulize kwnn mkae ndani.
Sio kila kitu ni chakuambiwa kukiwa na tetesi za ugaidi unafikiri ukiwaambia watu wataenda kwenye hizo fukwe..? wao wanajua na ndio wanataarifa zaidi Sasa mkuu unataka kuleta ubishi usio na tija tu.
 
Je hii ni pamoja na hoteli zilizo na fukwe au ni kwa fukwe wazi (open beaches) tu? Maana kama ni pamoja na hoteli au migahawa, inaweza kuharibu biashara. Labda wangetoa ufafanuzi zaidi.
 
Huko ufukweni kuna kipi kibaya mpaka watu waonoke SAA 12 jioni ama wanataka watoe nafasi kwa majini,mashetani & masamaki nguva kusheherekea mwaka mpya
 
Wange nyoosha tu sentensi kua hakuna kusherhekea chochote kazi ziendeleee kama kawaida na tule ugali kama kawaida... Kama vike amhakija tokea kitu...

Asee hii miaka mitano nita nyooka kwakweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…