edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,919
- 9,797
Mzee wa upako amepwaya sanaGame kweli lime change, nakumbuka mwaka 2012 wakati bro gwaji anaingia kawe alikuwa anapiga mtu ile mbaya pale Tanganyika pacers, ila sasa hivi naona upepo kidogo umemkataa,, dambwe kwa sasa kalishikilia mwamposa, ila na yeye kama ni mpunga ndo apige mana upepo wake ukipita basi ajue tena basi asubiliena wengine,, kumbuka tulianza na mjomba kakobe, bro mzee wa upako, shangazi(marehemu rwakatale) etc..