Mkesha wa VUKA NA CHAKO: Kutoka Uwanja wa Benjamin Mkapa na prophet Boniphace Mwamposa - 16/12/2022

Mzee wa upako amepwaya sana
 
Huna lolote..get a job.

Kama unamtambua kristo mbona hamfuati maamlisho yake..tambua kuwa kristo ndio njia ya kweli na uzima..hakuna atakaye fika kwa baba bila kupitia kristo.

#MaendeleoHayanaChama
Umeenda kuomba watoe maelekezo niliyo kupatia...
Next time don't quote me bway coz ain't said shit....
Kaa kwa kutulia....
 
Huna lolote..get a job.

Kama unamtambua kristo mbona hamfuati maamlisho yake..tambua kuwa kristo ndio njia ya kweli na uzima..hakuna atakaye fika kwa baba bila kupitia kristo.

#MaendeleoHayanaChama
Yesu alimuabudu Mungu mmoja Muumba mbingu na nchi bila kumshirikisha na kitu chochote na mimi vilevile namuabudu huyo huyo sasa hapo jioni kama namfuata ?

Nyinyi wakiristo wengi mnafanya kumshirikisha Mola mlezi kwa kumshirikisha katika ibada zake na kumuabudu asiyekuwa yeye ,mfano hapo chini mtu akimuabudu Maria na Sanamu linalo husihwa na yeye.

@strss challenger acha ushirikiana muabudu Mola wako mlezi muumba wa mbingu ,Ardhi na kilakitu kwa haki bila kumfanyia ushirika na kiumbe chochote.
 
hapo chini mtu akimuabudu Maria na Sanamu linalo husihwa na yeye..
muanzilishi wa masanamu ni allah , alituma majini kwa suleiman muislamu yakajenga msikiti na kuweka masanamu

Koran 34:13. Hao majini wakifanya atakacho Suleiman, kama misikiti kwa ajili ya ibada, na masanamu,....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…