Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi lake la nguo tu
Yeah, kabisa....Sio anondoke na begi la nguo, kila mtu achukue kilicho kwenye jina lake, basi.
Hapana, kila mtu achukue kilicho kwenye jina lake.., kwanini utake kuchukua kisicho chako?Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Nami nimeshangaa, huyu mke au umeokota kwasukwasu la kuja na kuondoka? Mke ni mtu hawezi kukaa miaka 7 halafu aondoke na begi.Sio anondoke na begi la nguo, kila mtu achukue kilicho kwenye jina lake, basi.
Sasa mwanasheria,mimi wangu nilimteka hakuja na begi.Hapo nikimfurusha imekaaje na aondokeje kitaalamu?Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi lake la nguo tu
Uislamu umeelekeza endapo utamuacha mke wako basi mpe jpo kitoka nyumba akaanzie maisha huko anapokwenda lkn sio mambo hya ya pasu kwa pasuKuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi lake la nguo tu
Hapana, kila mtu achukue kilicho kwenye jina lake.., kwanini utake kuchukua kisicho chako?
Sheria hii inasbabisha wanawaek wemmgi kudai talaka bila sababu za msingi ili kufilisicna kutapeli jasho la mwanaume..
comrade mbona una tumia silaha za kivita, kwenye kikao Cha familia ππKama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
comrade mbona una tumia silaha za kivita, kwenye kikao Cha familia ππ
mahari yako iongezwe Mara Γ2, una tema nondo kali mno.Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha
Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references
Ubaya Ubwela
Au sio πmahari yako iongezwe Mara Γ2, una tema nondo kali mno.
Duh!Hauoni unajiandaa kuachana kabla ya ndoa kwa idea hiyo?Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha
Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references
Ubaya Ubwela
Anatuwakilisha vyemaViva trump
Na hiyo mahari anaweza kukataa isitolewe kwa hofu ya kuonekana amenunuliwa kama mfugo.mahari yako iongezwe Mara Γ2, una tema nondo kali mno.