Mkiachana na mwanamke hakuna mgao wa mali. Anatakiwa aondoke na begi lake la nguo

Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi lake la nguo tu
 
Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Hapana, kila mtu achukue kilicho kwenye jina lake.., kwanini utake kuchukua kisicho chako?

Sheria hii inasababisha wanawake wengi kudai talaka bila sababu za msingi ili kufilisi na kutapeli jasho la mwanaume..
 
Sio anondoke na begi la nguo, kila mtu achukue kilicho kwenye jina lake, basi.
Nami nimeshangaa, huyu mke au umeokota kwasukwasu la kuja na kuondoka? Mke ni mtu hawezi kukaa miaka 7 halafu aondoke na begi.
Mnapoishi kila mmoja anazàlisha mali hivyo hawezi kuwa hana kitu miaka yote mliyokaa.
 
Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi lake la nguo tu
Sasa mwanasheria,mimi wangu nilimteka hakuja na begi.Hapo nikimfurusha imekaaje na aondokeje kitaalamu?
 
Kuna sheria za Marekani za ajabu imagine uki mdivorce mke wako mgao wa mali pasu pasu . Trump amependekeza kuifuta hiyo sheria ametuwakilisha vyema wanaume. Mwanamke anatakiwa aondoke na begi lake la nguo tu
Uislamu umeelekeza endapo utamuacha mke wako basi mpe jpo kitoka nyumba akaanzie maisha huko anapokwenda lkn sio mambo hya ya pasu kwa pasu

Qur'an ipo mbele ya muda kwa kila kitu
 
Hapana, kila mtu achukue kilicho kwenye jina lake.., kwanini utake kuchukua kisicho chako?

Sheria hii inasbabisha wanawaek wemmgi kudai talaka bila sababu za msingi ili kufilisicna kutapeli jasho la mwanaume..

Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha

Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references

Ubaya Ubwela
 
mahari yako iongezwe Mara ×2, una tema nondo kali mno.
 
Mkuu wazi io haina mjadala
Ngoja wanawake waje...
Women mkuje mnaitwa huku
 
Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha

Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references

Ubaya Ubwela
Duh!Hauoni unajiandaa kuachana kabla ya ndoa kwa idea hiyo?
 
Back
Top Bottom