Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Zilipatikanaje mkiwa wote?
Kama wote mnaondoka asubuhi kwenda kukwepa mishare na kupambana na shida za Duniani hapo sawa.
Lakini mke uko nyumbani mwanamume kiguu na njia huku na kule kutafuta na kuleta mke na watoto wanakula, unawavesha, unalipa ada za watoto, umejenga nyumba mkae au unalipa kodi wewe, Kila asset umenunua wewe, unakuta nyumbani Kuna house girl unalipa wewe mshahara nk. MNAGAWANAJE HAPA?.
Mkiwa wote kiaje, Kenya unachukua ulichovuna ,unakuta mie naumia yaani najiumiza napata kitu, yaani nafanya kazi ambayo kifo nakichungulia wewe umelala ndani eti tugawane sawa. Yaani wanawake bana nyie mnawaza Mali tu ilhali sie tunawaoa hata mia moja hamna mfukoni.Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Mmejenga nyumba wewe unakuta umenunua mifuko mingapi ya cement ama tofali ngapi, Kama vipi Jenga yako kivyako namie nijenge yangu kivyanguHata begi la Nguo libaki tu tayari tunakuwa tumejenga nyumbani 😝😅
Hapo mtakuwa mnaishi kimkakati na hamtakuwa mkipendana bali mnawindana.Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha
Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references
Ubaya Ubwela
Hujaelewa wewe umesoma haraka sanaMmejenga nyumba wewe unakuta umenunua mifuko mingapi ya cement ama tofali ngapi, Kama vipi Jenga yako kivyako namie nijenge yangu kivyangu
Wanawake Kila kwao ni trading yaani hawataki low value, Wana umri mdogo Ila wanataka mwanaume mwenye umri mkubwa,anayo diploma anataka mwenye bachelorInaonekana wanawake ni watafutaji mpaka kwenye ndoa,
Haya watoto je inakuaje?
Kama mlikua pamoja na hukutoa hata mia mbovu kwanini mgawane,Kama mali zilipatikana mkiwa wote mgawane
Kama alikukuta nazo aende na mabegi yake(kama hata mabegi ni yake)
Kwenye sheria za Tanzania hasa ya ndoa inakubalika?Hapana kuna kitu kinaitwa prenup agreement. Unapaswa kumsainisha mwanamke.
Ukisahau hilo utafyokotolewa
Ndio maana kila mtu achukue kilicho na jina lakeZinapatikana wote kwa wote kufanya kazi
Unayajua mapenzi wewe?mkioana tu hakuna mtu anafikiri hayo utasikia baby andika tu Jina lako na hela imetoka kwenye 10% ya michango ya harusi.Hii pia ni idea nzuri
Kuna baadhi ya wanawake wanachukulia kama ndoa ni sehemu ya kutoboa kipesa/kimaisha
Ingekuwa vizuri zaidi kama wangewekeana mkataba wa kila alicho-contribute mwanandoa kukamilisha jambo fulani,mfano tukinunua kiwanja tuandikishane mke alitoa sh ngapi na mume alitoa ngapi ili wakati wa kugawana tuwe na references
Ubaya Ubwela
Mc Pilipili alipiga magoti na kikamrambaMoja kati ya kitu sito fanya, ni kupiga magoti broo[emoji23][emoji1787]