Mkiambiwa CCM ina mbinu 100 za kukaa madarakani mnabisha

Kijana wa Kizimkazi 2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2026
Posts
4,842
Reaction score
10,164
Jumapili njema wadau...............................!

Mwaka 2015 Mkapa alipokuwa anampigia kampeni John Magufuli (JPM) aliwaita wapinzani malofa vilevile katika hotuba yake alitaja mbinu 100 anazotumia CCM kuendelea kubaki madarakani. Moja ya mbinu hizo ni kuibua jambo mitandaoni ili kuwazubaisha watu waachane na harakati za kudai haki. Hii imetokea juzi tu kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva CCM ni jitu lenye akili sana.

1.Tulikuwa busy na Lisu kwa sasa tupo na Konki Master

2.Tulikuwa busy na Heche kwa sasa tupo na Mambaz 24

3. Mnyika aliitisha press juzi lakini watu hawana time nayo tupo busy na Dudubaya

4.Tulikuwa busy na Mange kimambe saivi tupo busy na bifu la Konki master na Diamond platnumz

5.Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platnumz

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CCM na RAIS WETU MPENDWA
 
Hatujaamua tu.Hakuna cha mbinu wala mbwinu.Waarabu waliwezaje na Arab springs!?
 
Jumapili njema wadau...............................!

Mwaka 2015 Mkapa alipokuwa anampigia kampeni John Magufuli (JPM) aliwaita wapinzani malofa vilevile katika hotuba yake alitaja mbinu 100 anazotumia CCM kuendelea kubaki madarakani. Moja ya mbinu hizo ni kuibua jambo mitandaoni ili kuwazubaisha watu waachane na harakati za kudai haki. Hii imetokea juzi tu kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva CCM ni jitu lenye akili sana.

1.Tulikuwa busy na Lisu kwa sasa tupo na Konki Master

2.Tulikuwa busy na Heche kwa sasa tupo na Mambaz 24

3. Mnyika aliitisha press juzi lakini watu hawana time nayo tupo busy na Dudubaya

4.Tulikuwa busy na Mange kimambe saivi tupo busy na bifu la Konki master na Diamond platnumz

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CCM na RAIS WETU MPENDWA
BIla polisi na tume huru hamna kitu.
 
Hizo mbinu ni safi?Kwa jinsi jina lako lilivyo Wewe hupaswi kushabikia ujinga huu!
 
Jumapili njema wadau...............................!

Mwaka 2015 Mkapa alipokuwa anampigia kampeni John Magufuli (JPM) aliwaita wapinzani malofa vilevile katika hotuba yake alitaja mbinu 100 anazotumia CCM kuendelea kubaki madarakani. Moja ya mbinu hizo ni kuibua jambo mitandaoni ili kuwazubaisha watu waachane na harakati za kudai haki. Hii imetokea juzi tu kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva CCM ni jitu lenye akili sana.

1.Tulikuwa busy na Lisu kwa sasa tupo na Konki Master

2.Tulikuwa busy na Heche kwa sasa tupo na Mambaz 24

3. Mnyika aliitisha press juzi lakini watu hawana time nayo tupo busy na Dudubaya

4.Tulikuwa busy na Mange kimambe saivi tupo busy na bifu la Konki master na Diamond platnumz

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CCM na RAIS WETU MPENDWA
Kwa nini unatumia neno ''tulikuwa....''. Wewe na nani? Wasiojitambua ndiyo wako huko, wenye akili wana ajenda moja tu CCM iondoke....muulize Samia atakuambia ni kwa nini anamwogopa Lissu kama mnyama simba na mikutano ya CHADEMA. BTW wangekuwa na mbinu nyingi wasingetumia dola kwenye kila jambo ili iwasaidie... Wasingeteka hata watu wasio na impact kubwa kama kina Mdude
 
inaonyesha how low iq you are, ccm ni serikali, serikali inatawala nchi nzima kila kitu kiko chini yake, sasa iweje uone kwamba hilo ni jambo sooo unique na wewe tu ndiyo umeliona na kuligundua? kwamba wow niliwambia serikali ina mbinu nyingi za kubakia madarakani, i mean ulifikiri kwamba hatulijui hilo? yoyote anayeongoza serikali ana hiyo power ya kufanya ushenzi wote wanaoufanya na ndiyo maana tuna-fight against that so that tuichukuwe hiyo power na kuitumia for good na siyo for evil kama sasa hivi, kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote na siyo kutesa, kuuwa, kuiba, kupora, kubaka wananchi ambao inapaswa kuwalinda na kuwatetea ...
 
Jumapili njema wadau...............................!

Mwaka 2015 Mkapa alipokuwa anampigia kampeni John Magufuli (JPM) aliwaita wapinzani malofa vilevile katika hotuba yake alitaja mbinu 100 anazotumia CCM kuendelea kubaki madarakani. Moja ya mbinu hizo ni kuibua jambo mitandaoni ili kuwazubaisha watu waachane na harakati za kudai haki. Hii imetokea juzi tu kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva CCM ni jitu lenye akili sana.

1.Tulikuwa busy na Lisu kwa sasa tupo na Konki Master

2.Tulikuwa busy na Heche kwa sasa tupo na Mambaz 24

3. Mnyika aliitisha press juzi lakini watu hawana time nayo tupo busy na Dudubaya

4.Tulikuwa busy na Mange kimambe saivi tupo busy na bifu la Konki master na Diamond platnumz

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CCM na RAIS WETU MPENDWA
Mambo haya yote yanatokea na lzm yote tushughulike nayo huu ndio utaratibu wa dunia
 
inaonyesha haow low iq you are, sasa ccm ni serikali, serikali inatawala nchi nzima kila kitu kiko chini yake, sasa iweje uone kwamba hilo ni jambo sooo unique na awewe tu ndiyo umeliona na kuligundua? kwamba wow niliwambia serikali ina mbinu nyingi za kubakia madarakani, i mean ulifikiri kwamba hatulijui hilo? yoyote anayeongoza serikali ana hiyo power ya kufanya ushenzi wote wanaoufanya na ndiyo maana tun-fight against that so that tuichukuwe hiyo power na kuitumia kwa ajili ya manufaa ya wananchi wote na siyo kutesa, kuuwa, kuiba, kupora, kubaka wananchi ambao inapswa kuwalinda na kuwatetea ...
Hlafu kuna tofauti ya ''mbinu'' na ''ubabe''. CCM inatumia ubabe, ukatili, uuaji na siyo mbinu. Walishaishiwa mbinu sasa hivi wamebaki kutumia vyombo vya dola.
 
Mtu mwenye kutumia mbinu ina maana ana akili kumzidi mkinzani wake.Sasa,ukikaa na kutulia,unamuona nani mwenye akili njema na maarifa bora kule CCM?
 
Hlafu kuna tofauti ya ''mbinu'' na ''ubabe''. CCM inatumia ubabe, ukatili, uuaji na siyo mbinu. Walishaishiwa mbinu sasa hivi wamebaki kutumia vyombo vya dola.

ndiyo maana yake, hakuna tofauti kati ya ccm na serikali, hivyo kusema kwamba "niliwambia ccm sijui ina mbinu nyiingi" kwangu mimi ni inaonyesha jinsi gani not so intelligent mleta mada is ...
 
Jumapili njema wadau...............................!

Mwaka 2015 Mkapa alipokuwa anampigia kampeni John Magufuli (JPM) aliwaita wapinzani malofa vilevile katika hotuba yake alitaja mbinu 100 anazotumia CCM kuendelea kubaki madarakani. Moja ya mbinu hizo ni kuibua jambo mitandaoni ili kuwazubaisha watu waachane na harakati za kudai haki. Hii imetokea juzi tu kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva CCM ni jitu lenye akili sana.

1.Tulikuwa busy na Lisu kwa sasa tupo na Konki Master

2.Tulikuwa busy na Heche kwa sasa tupo na Mambaz 24

3. Mnyika aliitisha press juzi lakini watu hawana time nayo tupo busy na Dudubaya

4.Tulikuwa busy na Mange kimambe saivi tupo busy na bifu la Konki master na Diamond platnumz

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CCM na RAIS WETU MPENDWA
Waliobusy na huo upumbavu ni wana ccm wenzio.
 
Back
Top Bottom