Mkiambiwa CCM ina mbinu 100 za kukaa madarakani mnabisha

Jumapili njema wadau...............................!

Mwaka 2015 Mkapa alipokuwa anampigia kampeni John Magufuli (JPM) aliwaita wapinzani malofa vilevile katika hotuba yake alitaja mbinu 100 anazotumia CCM kuendelea kubaki madarakani. Moja ya mbinu hizo ni kuibua jambo mitandaoni ili kuwazubaisha watu waachane na harakati za kudai haki. Hii imetokea juzi tu kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva CCM ni jitu lenye akili sana.

1.Tulikuwa busy na Lisu kwa sasa tupo na Konki Master

2.Tulikuwa busy na Heche kwa sasa tupo na Mambaz 24

3. Mnyika aliitisha press juzi lakini watu hawana time nayo tupo busy na Dudubaya

4.Tulikuwa busy na Mange kimambe saivi tupo busy na bifu la Konki master na Diamond platnumz

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CCM na RAIS WETU MPENDWA
Mbinu zao zilishastukiwa na ndiyo maana tunawaambia warudishe milioni 2 za abdul.
 
Jumapili njema wadau...............................!

Mwaka 2015 Mkapa alipokuwa anampigia kampeni John Magufuli (JPM) aliwaita wapinzani malofa vilevile katika hotuba yake alitaja mbinu 100 anazotumia CCM kuendelea kubaki madarakani. Moja ya mbinu hizo ni kuibua jambo mitandaoni ili kuwazubaisha watu waachane na harakati za kudai haki. Hii imetokea juzi tu kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva CCM ni jitu lenye akili sana.

1.Tulikuwa busy na Lisu kwa sasa tupo na Konki Master

2.Tulikuwa busy na Heche kwa sasa tupo na Mambaz 24

3. Mnyika aliitisha press juzi lakini watu hawana time nayo tupo busy na Dudubaya

4.Tulikuwa busy na Mange kimambe saivi tupo busy na bifu la Konki master na Diamond platnumz

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CCM na RAIS WETU MPENDWA
Mkuu mbona umezipunguza sana. Zipo 1000 na Mzee Wassira anasema washatumia tatu tu! Ahahahahaha!!
 
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU (The Ultimatum)

Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
  • Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
  • Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
  • Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
  • Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
 
Kususia wasanii imeishia wapi ? Nyie hamna msimamo bali mna nyege ,watu wenye akili huwatumia hisia kwenye mambo ya siasa... Diamond anapiga show mpaka Mwanza huko ,chuki za kukariri hazidumu 😅😅😅Mwisho wa siku njaa itawamaliza.
 
CCM iliyojaa wajinga, ina mbinu gani!!

Sema CCM ina ujambazi wa aiana zaidi ya 100. Majambazi wengi huwa hawana akili, ndiyo maana wengi wao hukimbilia kuua ili wakupore.
Ndiyo maana unaona CCM ikiwa imejaa wauaji, ni kwa sababu hawana mbinu. Mbinu ni ujuzi unaohitaji akili kuweza kushinda bila ya kuvunja sheria. CCM haina mbinu, ndiyo maana inafanya ujambazi wa kuteka na kuua watu ili kubakia madarakani. Mbinu huwa zinahitaji akili, na ndani ya CCM wamejaa wajinga, ndiyo maana hawana mbinu za kupata ushindi halali wa kuwezesha kusalia madarakani kwa njia halali. CCM inategemea ujambazi na ushetani wa kila aina ili kuwapora wananchi mamlaka yao..
 
Chama kama Chadema kinachotegemea matamko ya wazungu utasema kuna kitu pale.
 
ndiyo maana yake, hakuna tofauti kati ya ccm na serikali, hivyo kusema kwamba "niliwambia ccm sijui ina mbinu nyiingi" kwangu mimi ni inaonyesha jinsi gani not so intelligent mleta mada is ...
Mleta mada ni mjinga asiyejua hata ya utofauti wa mbinu na ujambazi au uovu. CCM imebobea katika uovu, siyo mbinu.

CCM inayowateka na kuwaua wapiga kura ambao inajua hawaitaki, ina mbinu gani?

Kwa ujinga wa mleta mada, hata jambazi akaja na uoanga, akakuua na kupora mali yako, atamsifia huyo jambazi kuwa ana mbinu!!
 
Jumapili njema wadau...............................!

Mwaka 2015 Mkapa alipokuwa anampigia kampeni John Magufuli (JPM) aliwaita wapinzani malofa vilevile katika hotuba yake alitaja mbinu 100 anazotumia CCM kuendelea kubaki madarakani. Moja ya mbinu hizo ni kuibua jambo mitandaoni ili kuwazubaisha watu waachane na harakati za kudai haki. Hii imetokea juzi tu kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva CCM ni jitu lenye akili sana.

1.Tulikuwa busy na Lisu kwa sasa tupo na Konki Master

2.Tulikuwa busy na Heche kwa sasa tupo na Mambaz 24

3. Mnyika aliitisha press juzi lakini watu hawana time nayo tupo busy na Dudubaya

4.Tulikuwa busy na Mange kimambe saivi tupo busy na bifu la Konki master na Diamond platnumz

5.Zuchu atangaza kuachana na Diamond Platnumz

MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI CCM na RAIS WETU MPENDWA
Screenshot_20260117-171041~2.png
 
Inaonekana watu wana stake sana kwenye issue ya homosexuality, maana idea inapitia mashambulizi kila kona.

Nasemaje, machoko na mabasha wauawawe.
 
Back
Top Bottom