Haijalishi! Angalau itakuwa fursa ya wananchi kujua umeonewa kuliko ku'withdraw' maana watauliza kwa nini alijitoa. Mfano, kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu kumewapa wananchi kujua kinachoendelea katika chaguzi zetu hapa nchini. Kama vyama vya upinzani visingeshiriki Kwa kuogopa kuibiwa kura wananchi wangevilaumu Kwa kutoshiriki. Ni heri kujaribu tukashindwa, maana utajua next time utafanya nini, kuliko kushindwa kujaribu.Wewe unafikiri ni Jambo la busara kushindwa na MTOTO uliyemkuza?
Unafikiri CCM watakubali Washindwe na CHADEMA hata kama Kura zinaonyesha hivyo?
😂😂😂Wanakuja CCM
Au wewe mgeni Tz?
Haijalishi! Angalau itakuwa fursa ya wananchi kujua umeonewa kuliko ku'withdraw' maana watauliza kwa nini alijitoa. Mfano, kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu kumewapa wananchi kujua kinachoendelea katika chaguzi zetu hapa nchini. Kama vyama vya upinzani visingeshiriki Kwa kuogopa kuibiwa kura wananchi wangevilaumu Kwa kutoshiriki. Ni heri kujaribu tukashindwa, maana utajua next time utafanya nini, kuliko kushindwa kujaribu.
Mwamba ni mpaka akiwa hawezi kabisa yaani mzee kikongwe yule wa kutambaa ndio ataachia kiti. Hii muweke akiliniHata ukiwasikiliza Makamanda walio wengi ndani ya chama, wanasema ni wakati sasa wa Mh. Mbowe kupumzishwa nafasi yake ya Uenyekiti, kupitia sanduku la kura! kama amegoma kupumzika kwa hiyari yake.
sidhani, tiss watakubali ntu wao ashindwe? hii haitawezekana kamweHabari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Mbowe hapiganii ufalme wa mbinguni!Habari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Nikupe upenyo utatoka wapi! Wajumbe wa mkutano mkuu wengi ni wachagga na wachagga kwenye mambo haya huwa hawatupani. Mbowe alihakikisha wachagga hata huko mikoani ndiyo wanakuwa wajumbe wa mkutano mkuu.KuleTLS, Lisu aliishinda Serikali, CCM pamoja na mgombea wao. Hivyo Lisu kumshinda Mbowe, haitakuwa ajabu hata kidogo.
Wacha tu Mbowe apumzishwe kwa sababu hakutaka kupumzika.
Unaweza kuwa sawa! Ana mihemko ujueMbowe hapiganii ufalme wa mbinguni!
TAL anapenda mashindano sana,Tena ya kijinga!
Hicho chama hata apewe Bure,hakiwezi kukiendesha,badala yake atasababisha mauaji makubwa na vurugu kubwa sana kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.
Mkuu umeongea kwa ufupi sana. Unaweza kutupa fact hata moja tu?Habari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Una facts au unaropoka tu mkuu?Nikupe upenyo utatoka wapi! Wajumbe wa mkutano mkuu wengi ni wachagga na wachagga kwenye mambo haya huwa hawatupani. Mbowe alihakikisha wachagga hata huko mikoani ndiyo wanakuwa wajumbe wa mkutano mkuu.
Nikupe Siri, wachagga huwa ni wanafiki, watakuchekea na kujionesha wanakuunga mkono, mwisho wa yote wanakuangusha katika sanduku la kura. Ilishatokea huko TLP enzi za Mrema.
Msimchukulie poa Mbowe. Ana uzoefu na anajua anataka nini.
Nikupe upenyo utatoka wapi! Wajumbe wa mkutano mkuu wengi ni wachagga na wachagga kwenye mambo haya huwa hawatupani. Mbowe alihakikisha wachagga hata huko mikoani ndiyo wanakuwa wajumbe wa mkutano mkuu.
Nikupe Siri, wachagga huwa ni wanafiki, watakuchekea na kujionesha wanakuunga mkono, mwisho wa yote wanakuangusha katika sanduku la kura. Ilishatokea huko TLP enzi za Mrema.
Msimchukulie poa Mbowe. Ana uzoefu na anajua anataka nini.
Ila ni kweli, wajumbe wengi wapigakura ni wachagga.Una facts au unaropoka tu mkuu?
Wakiziccm kura..?Hata ukiwasikiliza Makamanda walio wengi ndani ya chama, wanasema ni wakati sasa wa Mh. Mbowe kupumzishwa nafasi yake ya Uenyekiti, kupitia sanduku la kura! kama amegoma kupumzika kwa hiyari yake.
Naunga mkono hoja ,ni busara zaidi FAM kung'atuka na kumuachia TL apeperushe bendera ,kama alivyofanya kipindi cha lowasa ilikuwa rahisi kumsafisha na kumuachia apeperushe bendera ,why sasa hivi ni vigumu kumuachia TL anayekubalika na jamii kwa manufaa ya jamii??(Na hii ndio maana ya democracy kwa ajili ya watu..Habari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
Mbowe anategemea goli la mkonoHabari za jumapili.
Kuna ndugu zangu kina Retired na FUSO na kina Yericko Nyerere bado ni vipofu hawaoni mbele kuhusu kinachoenda kutokea hiyo January 21.
Sijajua kitu gani kinawafanya wasione jambo dogo kama hili.
Mbowe hawezi Kupata hata Kura 300 za wajumbe.
Ushindi pekee aliobakiwa nap Mbowe ni kujitoa kwenye kinyang'anyiro vinginevyo anachoenda kukutana nacho ni aibu ya kufungulia Mwaka.
Haya. Aibu ya kujitakia hii
hata shetani kunamda anajifanya mwema kwako apate nafasi ya kukuangamiza vizuri...sina maana hiyo...Kile kikundi kilichomshauri akagombee hakukuwa na Nia njema kwa chama na mbowe...
Mbowe anategemea goli la mkono