Haijalishi! Angalau itakuwa fursa ya wananchi kujua umeonewa kuliko ku'withdraw' maana watauliza kwa nini alijitoa. Mfano, kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu kumewapa wananchi kujua kinachoendelea katika chaguzi zetu hapa nchini. Kama vyama vya upinzani visingeshiriki Kwa kuogopa kuibiwa kura wananchi wangevilaumu Kwa kutoshiriki. Ni heri kujaribu tukashindwa, maana utajua next time utafanya nini, kuliko kushindwa kujaribu.Wewe unafikiri ni Jambo la busara kushindwa na MTOTO uliyemkuza?
Unafikiri CCM watakubali Washindwe na CHADEMA hata kama Kura zinaonyesha hivyo?