Mkiambiwa Timu au Club ya Simba ni kubwa muwe mnaelewa

Kalpana

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
32,603
Reaction score
62,269
Unaposema ukubwa wa kitu ni kwenye nyanja nyingi lakini kwa leo nataka tuu tujikite kwenye mitandao ya kijamii. Hebu angalieni hapa chini
20211126_121404.jpg
20211126_121424.jpg
 
Na tungefika nusu fainali, tungempiku al ahly kwa idadi ya followers
 
We kama mwanayanga unachukuliaje swala la timu yako kuzidiwa na timu nyingine iihali nyinyi mnasema ni timu ya wananchi?
Amekubali yameisha mapemaa
 
We kama mwanayanga unachukuliaje swala la timu yako kuzidiwa na timu nyingine iihali nyinyi mnasema ni timu ya wananchi?
Kwa hiyo hapo leo umeridhika kwa takwimu za mitandao, njoo mtaani na soma pia historia ya uhuru wa nchi yetu ndio utajua kwa nini Yanga ni timu ya wananchi wewe kolo mbwiga
 
Mtaani pia mko outnumbered
 
Kwa hiyo hapo leo umeridhika kwa takwimu za mitandao, njoo mtaani na soma pia historia ya uhuru wa nchi yetu ndio utajua kwa nini Yanga ni timu ya wananchi wewe kolo mbwiga
Hahaaah Yanga ya mdomoni tuuu
 
Hazitawahi kuisha kwani nyie kutufunga ndo mtafanya tuwe sisimizi? Bado ni walewale miamba ya Nyika yani King of the Jungle
Baada ya kuzamishwa na makhirikhiri na kupoteana naona mmeanza kuibuka, sasa tunataka tuwazike mpotelee kuzimu huko.
 
Back
Top Bottom