We kama mwanayanga unachukuliaje swala la timu yako kuzidiwa na timu nyingine iihali nyinyi mnasema ni timu ya wananchi?Aya sawa
Tunashukuru kwa taarifaWe kama mwanayanga unachukuliaje swala la timu yako kuzidiwa na timu nyingine iihali nyinyi mnasema ni timu ya wananchi?
Kwa hiyo hapo leo umeridhika kwa takwimu za mitandao, njoo mtaani na soma pia historia ya uhuru wa nchi yetu ndio utajua kwa nini Yanga ni timu ya wananchi wewe kolo mbwigaWe kama mwanayanga unachukuliaje swala la timu yako kuzidiwa na timu nyingine iihali nyinyi mnasema ni timu ya wananchi?
Mtaani pia mko outnumberedKwa hiyo hapo leo umeridhika kwa takwimu za mitandao, njoo mtaani na soma pia historia ya uhuru wa nchi yetu ndio utajua kwa nini Yanga ni timu ya wananchi wewe kolo mbwiga
Sawa sasa mbona mnateseka na yanga? Nyie si timu sawa na madrid, mbona mnahangaika na yanga?Mtaani pia mko outnumbered
Kwani lazima iwe yanga? Jilinganisheni hata na Coastal union.Kwani vita? Tunalinganisha tuu
Tunaongea ili kukemea dhana potofu ambazo mmekua mkiaminishwa na viongozi wenuSawa sasa mbona mnateseka na yanga? Nyie si timu sawa na madrid, mbona mnahangaika na yanga?
Hizi kelele baada ya tar 11 hazitosikika tena.Tunaongea ili kukemea dhana potofu ambazo mmekua mkiaminishwa na viongozi wenu
Baada ya kuzamishwa na makhirikhiri na kupoteana naona mmeanza kuibuka, sasa tunataka tuwazike mpotelee kuzimu huko.Hazitawahi kuisha kwani nyie kutufunga ndo mtafanya tuwe sisimizi? Bado ni walewale miamba ya Nyika yani King of the Jungle
Siku zote kelele zenye maslahi ni zile za kuchukua ubingwaHizi kelele baada ya tar 11 hazitosikika tena.